Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Na wewe Tambua hivi karibu vyuo vyote Tanzania wanatumia mitandao ya kijamii hasa WhatsApp kwa ajili ya kujisomea ambapo wanatumiwa notes na vitu vingi.
Sasa haujui wamewatesa
Chuo cha Shangaz yako ndio kimefunguliwa?

Unaakili ww?

University huwa kuna system yenye Dashboard ya kuwezesha Mzunguko wa Materials zisambazwe.. na kwa sas hakuna Chuo kilicho wazi
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Hapo ulipo ushavunjwa sasa unamtisha nani
 
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Hili ombi yani la msingi sana, sijui linawasilishwaje ili tujibiwe mapema bana, maisha yanedelee tusharidhika basi
 
Mwenzio kafanya utani wewe umekuja na wenge, kama internet iko low ivyo vitu vya maendeleo unavipata wapi?
lakn bado unaweza chart twitter..Imbecile...Muwe mnafanya uchunguzi..hamna kitu kilichozuiwa ila mitandao ya kijamii kupunguza umbea..au Hujui watanzania Tunaongoza kwa umbea Afrika
 
Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.
Hahahhaahhaaahahahhaaha.
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Nimekuja kugundua mbogamboga itaongoza miaka 100 ijayo na zaidi kwa akili hizi. Nikikuambia sina internet ya airtel ,voda na tigo leo ni siku ya 4 huwez kubali,,bila kuwepo kwa hyo internet huko google, zoom, ama google meets nitafikaje? Jingaaaa kabisa wewe
 
Hivi. Hiyo VPN inatumika kufungua facebook. ??? Mbons mm kwangu inakataa
 
lakn bado unaweza chart twitter..Imbecile...Muwe mnafanya uchunguzi..hamna kitu kilichozuiwa ila mitandao ya kijamii kupunguza umbea..au Hujui watanzania Tunaongoza kwa umbea Afrika
Mmbea wewe mwenyewe, usitulazmishe wote tuwe na tabia yako
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Safii sana mkuu
 
Back
Top Bottom