Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Halafu wewe mbona una mambo ya kisenge hivi? Hivi unajua hasara wanazopata watu kwa kufungwa kwa hii mitandao?Chuo cha Shangaz yako ndio kimefunguliwa?
Unaakili ww?
University huwa kuna system yenye Dashboard ya kuwezesha Mzunguko wa Materials zisambazwe.. na kwa sas hakuna Chuo kilicho wazi
Acha ujinga hata search ingine ya Google haifanyi kazi kama hujaconnect VPNUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Wewe ni mpumbavu hujui watu wanatumiana document watsapp?Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Pambana na hali yako. Si huwa mnasifia kishindo?Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
ukifungua kesi juu ya haTa makamuni inakuwaje?maana same had in in mambo ya watu sana,Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Hahahah... Kwa mtu aliye Serious hawez Tumia FB kusomea..
Na mtu aliye Serious... Basi muda huu anatumia VPN kupata huduma mbadala.. ila KWA MTU SHOGA.. kama ww utabak kusubir Marijali tufungue Net
Mpumbavu, sasa kwa nini Serikali izuie internet access kwa baadhi ya mitandao? Umefanya mambo makubwa in 5 years, unaogopa nini watu kutumia mitandao? Matokeo so far umeshinda nafasi zote almost 100%!! Hofu ya nini?Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Mwenzao tayari Ana ticket ya kurudi kwa beberu lake Amsterdam.Hama Nchi faken cockroach
We tulia... Kiherehere cha nin?Mpumbavu, sasa kwa nini Serikali izuie internet access kwa baadhi ya mitandao? Umefanya mambo makubwa in 5 years, unaogopa nini watu kutumia mitandao? Matokeo so far umeshinda nafasi zote almost 100%!! Hofu ya nini?
Makamuni ndio wapi? Em relax kwanzaa kipigo cha Uchaguz kimewalemaza sana relaxukifungua kesi juu ya haTa makamuni inakuwaje?maana same had in in mambo ya watu sana,
Mkuu naomba link mojawapo ya kusoma online nijaribu maana kwangu imeshindikana hata google/google play store haifunguki.Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Uongooo mkubwaaa acha Uongoo au uliishiwa BUNDLE..????Acha ujinga hata search ingine ya Google haifanyi kazi kama hujaconnect VPN
Kusoma nin?Mkuu naomba link mojawapo ya kusoma online nijaribu maana kwangu imeshindikana hata google/google play store haifunguki.
Kauli hizi za "tutawavunja" zilishawahi kutamkaa mara nyingi sana na watawala dhalimu kote ulimwenguni ila mwishowe walitoroka kwa kuvaa hijabu/baibui usoni.Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
AndamanaKauli hizi za "tutawavunja" zilishawahi kutamkaa mara nyingi sana na watawala dhalimu kote ulimwenguni ila mwishowe walitoroka kwa kuvaa hijabu/baibui usoni.
Wengine waliokotwa kwenye mitaro ya maji taka wakasulibiwa na wananchi.