Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Chuo cha Shangaz yako ndio kimefunguliwa?

Unaakili ww?

University huwa kuna system yenye Dashboard ya kuwezesha Mzunguko wa Materials zisambazwe.. na kwa sas hakuna Chuo kilicho wazi
Halafu wewe mbona una mambo ya kisenge hivi? Hivi unajua hasara wanazopata watu kwa kufungwa kwa hii mitandao?
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Acha ujinga hata search ingine ya Google haifanyi kazi kama hujaconnect VPN
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Wewe ni mpumbavu hujui watu wanatumiana document watsapp?
 
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Pambana na hali yako. Si huwa mnasifia kishindo?
 
IMG_5788.png

Bungeni 2021
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa

Some people have outsourced their brain functions to others!

Hivi, kwa kutumia hata akili ya kawaida tu, Internet itazimwa halafu mtu akeshe JF akirusha malalamiko ya kila aina?
 
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
ukifungua kesi juu ya haTa makamuni inakuwaje?maana same had in in mambo ya watu sana,
Hahahah... Kwa mtu aliye Serious hawez Tumia FB kusomea..

Na mtu aliye Serious... Basi muda huu anatumia VPN kupata huduma mbadala.. ila KWA MTU SHOGA.. kama ww utabak kusubir Marijali tufungue Net
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Mpumbavu, sasa kwa nini Serikali izuie internet access kwa baadhi ya mitandao? Umefanya mambo makubwa in 5 years, unaogopa nini watu kutumia mitandao? Matokeo so far umeshinda nafasi zote almost 100%!! Hofu ya nini?
 
Hawa wameonja radha ya kutuzimia internet na hawatoacha. Sasa hivi itakuwa normal. Mkiandamana masaa kadhaa tu, wanakata. Ikikaribia mitihani ya secondary, wanakata. Wakisikia CHADEMA wana mkutano, wanakata

Haya maisha tulizoea kuyasikia Ethiopia huko. It is our new normal now
 
Mpumbavu, sasa kwa nini Serikali izuie internet access kwa baadhi ya mitandao? Umefanya mambo makubwa in 5 years, unaogopa nini watu kutumia mitandao? Matokeo so far umeshinda nafasi zote almost 100%!! Hofu ya nini?
We tulia... Kiherehere cha nin?

Andamana basi
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Mkuu naomba link mojawapo ya kusoma online nijaribu maana kwangu imeshindikana hata google/google play store haifunguki.
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Kauli hizi za "tutawavunja" zilishawahi kutamkaa mara nyingi sana na watawala dhalimu kote ulimwenguni ila mwishowe walitoroka kwa kuvaa hijabu/baibui usoni.

Wengine waliokotwa kwenye mitaro ya maji taka wakasulibiwa na wananchi.
 
Andamana
 
Back
Top Bottom