Ombi la kurejeshewa Internet

Ombi la kurejeshewa Internet

Nimetaja kuwa ww ni CHAMA fulani? Umejiona ulivya fala?
Sasa unaponiambia nisilale ili nisikie Rais akitangazwa una maana gani?

Kwangu mimi maisha yangu sijawahi kutegemea uwepo wa Rais wala nani maana huwa napambana kivyangu na mafanikio huja kwa kujituma sio Rais kukuletea fedha wala chakula.
 
Sasa unaponiambia nisilale ili nisikie Rais akitangazwa una maana gani?

Kwangu mimi maisha yangu sijawahi kutegemea uwepo wa Rais wala nani maana huwa napambana kivyangu na mafanikio huja kwa kujituma sio Rais kukuletea fedha wala chakula.
Sas kama RAIS hakuhusu.. unakuja kulalamika nin? Unamlalamikia nan? si upambane mwenyew huko.. haya tawaza ulale
 
Duuuh umetumia nguvu nyingi kuwa na VPN ili uandike utopolo huu?? Kelele zote hizi kwa hisani ya mabeberu [emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui kama huwa unajitathmini... kwa kukumbusha tu hao unawashabikia wamekunyima uhuru wa kiingia humu mpk ukavunja sheria ndo umepata kuingia humu...kuwa na VPN ni kinyume na sheria za mtandao...[emoji23][emoji23][emoji23]
Oma hili bwege.. nan kakwambia JF imefungwa?? JF ni FREEEEEE miaka 10000 Haitafungwa na siombei ifungwe..

Jf bila VPN inapatikana

Umejiona ulivyo FALA?
 
Oma hili bwege.. nan kakwambia JF imefungwa?? JF ni FREEEEEE miaka 10000 Haitafungwa na siombei ifungwe..

Jf bila VPN inapatikana

Umejiona ulivyo FALA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapanik mbaya... najua ni jobless wewe ndo maana unamalizia stress zako huku... [emoji23][emoji23][emoji23] ya nini ukakaa nazo ukabast hlf ukafa... zitoe tuuuu. BTW hivi JF sio sosho midia eeee???
 
Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.
Ndicho kinachofuata sasa! Michezo ya kitoto sana hiyo
 
Kama ni wakike em Njoo PM unitambue vzr.. then... Baadae utarud Kuandika UZI wa Kuacha Dharau milele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]again panik vibaya sana...[emoji23][emoji23][emoji23] acha kujidhalilisha bob... focus!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]again panik vibaya sana...[emoji23][emoji23][emoji23] acha kujidhalilisha bob... focus!!!
Jichekeshe tu... Habari ndio hiyoo washa Runinga hapo.. pata Pepsi ya barid Mheshimiwa RAIS.. anatangazwa soon
 
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Tunafuata nyayo za China sasa rasmi...
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia

Na Tutawavunjaa
Majibu ya wanaume wanaingia kwenye siku zao ukimaliza kubridi niambie
 
Back
Top Bottom