stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Najiona sio zuzu Msukule mpiga makofi wa Jiwe...
Unaumia sana jiwe akisifiwa eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiona sio zuzu Msukule mpiga makofi wa Jiwe...
Hee!! Nimekuambia najiona sio zuzu mpiga makofi wa Jiwe!!! Kama wewe unaona fahari kuwa mpiga makofi ya Jiwe, that's you, and say it!!unaumia sana jiwe akisifiwa eeh?
Kwanini mlikubali huo upuuzi ? after all nani wa kukuamini wewe na kwa sababu zipi ? who are you by the way ?nadhan ifike sehem kama ni kuachishwa siasa muachishwe tu kwa sababu your of no use, as a company tuliletewa barua kabla mambo yote hajafungwa and mwisho ni 11th, unless further notice, hio barua ilishapostiwa uku mara kibao
Kama una akili timamu huwezi kushabikia jiwe humu kwa kutumia VPN , huku huyo huyo jiwe ndio kaleta aibu hiikwahio unajiona mjanja weeee au sio?
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.
Kitu ambacho si KWELI.
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Kwanini mlikubali huo upuuzi ? after all nani wa kukuamini wewe na kwa sababu zipi ? who are you by the way ?
Mmekubali kutumika kuficha wizi na mauaji ya wapemba na mkakubali , mkiitwa wanyama mtakataa ? halafu kitu gani mlichodhani mnakificha ambacho hakijajulikana ?
Shetani hana rafiki , what goes around comes around .
Kama una akili timamu huwezi kushabikia jiwe humu kwa kutumia VPN , huku huyo huyo jiwe ndio kaleta aibu hii
Kwanini uchafu wote huu mmefanya lakini kila mliowaua wamejulikana ?vp hamchomi ofisi zenu tena?
naskia mnataka kumfukuza aidan kama mlivowatimua wale wa wengine kipindi cha corona!
lastly: i dont need you to balance your belief, barua inasema 11th november! and wait for 11th uje utoe kelele zako tena, infact nadhan jana airtel walipewa go ahead so ina maaana kuanzia kesho everything will be fine, taarifa za ndan
Kwanini uchafu wote huu mmefanya lakini kila mliowaua wamejulikana ?
Kwa hiyo unaunga mkono kufungwa kwa hiyo mitandaoUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.
Kitu ambacho si KWELI.
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
China ni Taifa la kikomunist sio la mfumo wa kidemokrasia kama tunavyojinasibu sisi.vp na china pia ni washamba?
China ni Taifa la kikomunist sio la mfumo wa kidemokrasia kama tunavyojinasibu sisi.