Ombi la kurejeshwa kwa mada maalum ya waliotekwa ama waliopotea

Matukio kama haya yanayoendelea nchini yote tungeyaweka kwenye mada husika

Sikuwa na backup ndio maana nimeomba wairudishe

View attachment 3093727

Unajua ni vitu vingapi vimeshiriki mpaka ukaweza kuandika reply yako hapa?
Mshana Jr umenitisha kifo na unanizoom hahaha basi naomba unisamehe kigagula wa Msata mi sina ubaya kabisa na vigagula ka wewe, sema tu kukumbushana ni muhimu ili kuweka rekodi sawa
 
Haya matukio hayafuti UDHALIMU wa Magufuli. Na kimsingi yeye ndiye aliyeasisi kwa kumiliki yeye mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA.

Tunaendelea kumlaani mpaka huko jehanam anakoungua na moto
 
Hayo ni makundi ya akina Nep na mwezi wa kwanza wanajua hayo makundi yao. Usimsingizie Dkt Magufuli
 
Haya matukio hayafuti UDHALIMU wa Magufuli. Na kimsingi yeye ndiye aliyeasisi kwa kumiliki yeye mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA.

Tunaendelea kumlaani mpaka huko jehanam anakoungua na moto
Kaa kimya pimbi wewe.
 
Matukio kama haya yanayoendelea nchini yote tungeyaweka kwenye mada husika
Andika tena na ku post
Sikuwa na backup ndio maana nimeomba wairudishe
View attachment 3093727
Mshana Jr umenitisha kifo na unanizoom hahaha basi naomba unisamehe kigagula wa Msata mi sina ubaya kabisa na vigagula ka wewe, sema tu kukumbushana ni muhimu ili kuweka rekodi sawa
😀
 
Mshana huna baya...usitekwe
😭😭😭🙏🏿🙏🏿📌🔨🙏🏿
 
Haya matukio hayafuti UDHALIMU wa Magufuli. Na kimsingi yeye ndiye aliyeasisi kwa kumiliki yeye mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA.

Tunaendelea kumlaani mpaka huko jehanam anakoungua na moto
sio kweli, tafuta clip za karibuni za Mzee Butiku, naye alikuwa mtu wa serikali, amekupa na ushahidi wa toka awamu ya Nyerere mpaka hii ya sasa, pia tafuta thread ya jana ya Paschal Mayala, yeye ana ushahidi mpaka wa senior wake ambaye alikuwa Mtiss.
 
Naunga mkono Hoja.

Mada nyeti kabisa namna hii haipaswi kuondolewa.
Kuondoa mada ya namna hii ni sawa na kuunga mkono utekaji kwamba uendelee.
 
sio kweli, tafuta clip za karibuni za Mzee Butiku, naye alikuwa mtu wa serikali, amekupa na ushahidi wa toka awamu ya Nyerere mpaka hii ya sasa, pia tafuta thread ya jana ya Paschal Mayala, yeye ana ushahidi mpaka wa senior wake ambaye alikuwa Mtiss.
Kwanini nutafute clip za Butiku? Kwani mimi nilikuwa Tanzania gani na Butiku alikuwa Tanzania ipi? Kipindi cha Magufuli huwezi kufananisha na hivyo vya nyuma!! Uliona wapi Mbunge anapigwa risasi akiwa kwenye kuhudhuria vikao vya Bunge??

Au hujui kwanini Magufuri aliyetuma WASIOJULIKANA kummiminia risasi 16 Lissu ndiyo amekufa, na Lissu aliyemiminiwa yuko hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…