Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

Meneja Wa Makampuni mkuu kwa hizo thread hapo itoshe kusoma upo na ufahamu wa nini unachokiomba na kama ulivyotanabisha hapo umesema CV zipo.

Wengi wamejaa chuki, na wivu endelea kupambana mkuu Wapo viongozi wengi wanapita hapa jukwaani utakuwa upo exposed kwa kiasi fulani.

Hongera kwa uthubutu huu.
Mjaze ujinga!
 
Huna unachojua zaidi ya udini na matusi ndiyo vimejaa kichwani.

Nahisi pia ni sababu ya kuendelea kuishi kwa wazazi.

nilishakuambia wakubwa tunaelewa tu kwa kuangalia michango yako.
Haha amka kijana ondoka kwa shemeji yako siku akiachika dada yako huna pa kuishi kazi tu kugombania rimoti na house girl
 
Nimekupatia baraka zangu zote katika kufanikiwa.
Mbona hujaomba wewe hiyo nafasi mzalendo uchwara?

Huyu ni kijani mwenzio alitaka agombee ubunge huko kwenu baada ya kujidai hataki scholarship ya kwenda China , sasa unafikiri hiyo nafasi ataambulia wakati kuna vimemo tayari vimetangulizwa.

Huyu ataendelea kupiga blah blah kama wewe humu unless afanye kazi zake kimya kimya.
 
Mkuu kwasasa tuna program ya kuhimiza vijana kwenda ughaibuni kupata elimu. Tupo pamoja mkuu kama una kijana ambaye anataka kwenda ughaibuni kusoma mwambie afuatilie huu uzi. Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
 
Back
Top Bottom