Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Michango ya nini tena wakati Tayari kamishina alishateuliwa na yupo kazini akiwa akiendelea na kazi, na wewe ombi lako na dhumuni la andiko lako ilikuwa ni kupewa ukamishina. Hivyo nilikuwa nafikiri mjadala ulipaswa kuishia siku alipoteuliwa kamishna. Au unataka kwa sasa tuchangie nini kingine.Uzi bado unahitaji michango