KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo.
Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa Mungu kasikia ombi langu basi namshukuru Mungu kwa Hilo. Nimeomba awe ni yeye kwa sababu kuu zifuatazo:
Kupitia nyuzi zangu hizi niliamini atakuwa yeye na akiwa yeye basi nchi itasonga mbele sana
nilipanga kumfanyia kampeni ya nguvu yenye jina la 2025 Mpe Mama Tabasamu na huu uzi ni ushahidi Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu
kupitia Uzi huu nilionesha nipo tayari kusaidia ushindi wa Dkt. Samia na kujipongeza, jisonee Uchaguzi 2025 - Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa
baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 niliona ushindi wake utakuwa wa kihistoria 2025 kupitia Uzi huu Ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo ni ishara ya kukubalika Kwa Rais Samia. Upinzani ujipange kweli kushindana na CCM ya Samia
Imani niliyonayo kwa Dkt. Samia kulekea nchi ya ahadi 2030 ni kubwa 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya
kupitia Uzi naomba kushauri na kutoa ombi.
Kwa kuwa tumempata mgombea wetu mapema kabla ya muda ambao umezoeleka hivyo watu wanaweza kuja na mbinu za kumuangusha hivyo nashuri kiundwe kikosi kazi rasmi Cha kusaidia ushindi wa kishindo na wa kihistoria wa Dkt. Samia oktoba 2025 .
Pia, naomba nijumuishwa kwenye kikosi kazi hicho kwa sababu ni matumaini yangu atashinda kwa kishindo hivyo nitasaidia kufanikisha matumaini hayo.
Sababu kwa nini nijumuishwe ni hizi:
Uwezo mkubwa wa kufanya na kufanikisha jambo kwa mafanikio.
Uwezo wa kuja na plan B kwa haraka pale plan A inapoonesha kushindwa.
Uwezo wa kupanga mbinu na mikakati ya kusaidia chama.
Naamini nitakuwa ni msaada mkubwa katika jambo hili .
Naomba kuwasilisha.