Ombi la nafasi ya kazi

Ombi la nafasi ya kazi

01-01-2025

Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
7
Reaction score
5
Habari wana Jamii forum
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninae patikana Chamwino dodoma, Nina uhitaji wa kazi yeyote au nafasi ya kazi kama legal officer

ELIMU
Nimehitimu shahada ya Sheria mwaka 2022

Nime maliza masomo ya shule ya sheria kwa vitendo Law school of Tanzania ambapo na masomo machache ya kukamilisha (supplementary) hili niwe wakili

UZOEFU
Nimefanya internship ya sheria (Legal officer) sehemu mbalimbali ikiwemo.
-Ofisi ya wakili mkuu wa serikali (officer of solicitor general)
-Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali (National Prosecution Services)
-Ofisi za real estates
-mahakamani
hivyo nina ujuzi kisheria katika mambo mbalimbali,

Moja ya kazi nilizokuwa nafanya ni :
-Uandaaji wa hati za kisheria kwenye kesi za madai (Legal drafting )
-kuandaa mikataba ya ardhi, pamoja na nyaraka mbalimbali za kisheria katika hatua zote za usajili.
-kufanya tafiti na kutoa ushauri wa kisheria na kazi zinginezo za kisheria

Nje ya proffessional yangu nime wahi kufanya biashara ya electronics Uuzaji simu na vifaa vya electronics

Kwa sasa nipo chinangali wilayani Chamwino Dodoma katika harakati za kuanza maisha mkoani hapa , lakini pia nipo tayari kufanya kazi ilio njee ya field yangu

MAWASILIANO
PM…
Email Emmanuelsylivery98@gmail.com
 
Back
Top Bottom