babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Tatizo lako unafikri kwakutumia makalio. Hakuna tamko la waislamu kumuunga mkono. Ni maoni ya mtu binafsi ya mtu. Kuna uislamu na kuna Omari,Juma,Muhammad nk. Si kila msemaji anasema kwaniaba ya waislamu au uislamuHuyo Putin huwaua sana waislamu, kwanza kule Chechnya wanafahamu sana kipodo chake. Hivyo Mnapomuona kama mtume mnanishangaza.