Ombi la Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

Huyo Putin huwaua sana waislamu, kwanza kule Chechnya wanafahamu sana kipodo chake. Hivyo Mnapomuona kama mtume mnanishangaza.
Tatizo lako unafikri kwakutumia makalio. Hakuna tamko la waislamu kumuunga mkono. Ni maoni ya mtu binafsi ya mtu. Kuna uislamu na kuna Omari,Juma,Muhammad nk. Si kila msemaji anasema kwaniaba ya waislamu au uislamu
 
Huyo Putin huwaua sana waislamu, kwanza kule Chechnya wanafahamu sana kipodo chake. Hivyo Mnapomuona kama mtume mnanishangaza.
hata mi nakushangaa unavyowaona msshoga kama watume
Acha tushangaane tu
 
Lile azimio lenyewe haliwez badilisha chochote sembuse hiyo kujiunga Umoja wa ulaya
 
Hii EU ambayo UK aliamua kujitoa?
Umoja huu bado una issues economic migration being one of them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ