Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

Jambo lipo wazi! Ukiambiwa akili yako ni matope sio tusi? Ulimuwekea hayo matope?
 
Mkuu nadhani hujui nini maana halisi ya siasa. Ungejua usingemuomba mh. Tundu Lissu afanye hivyo bali aongezee nondo zaidi na zaidi.
Siasa ni kufichua madhaifu ya mpinzani wako bila kujali ukaribu au nasaba mlizo nazo. Ukitaka watu waongee mpaka mambo uliyokuwa ukiyafanya kizani ukijua watu hawajui, ingia kwenye siasa alafu ugombee nafasi nzito zinazojumuisha jamii nzima ya watanzania😃😃
 
Inamaana hujamsikia Rais leo kule Mbeya? Kasema tunatukanwa kule Twitter na "tunastahili". Uzuri LISSU hatukan bali ana kauli za kukera!!
Hata mimi nimeisikia hiyo kauli baada ya kuwasikiliza watu wa mradi wa BBT- Life
 
Hekima siyo sawa na matako ambayo kila mmoja anayo. Lissu hana hekima na wala hawezi kuelewa unachomsihi.

Muache hivyo hivyo ndiyo kilema chake
 


Hovyo kabisa, unaongelea mambo ya hisia kwenye issue serious za maendeleo?
 
The opposite ni kuwa, kama Rais Samia Suluhu Hassan ana hekima na busara, basi anapaswa kuwaomba radhi na msamaha Watanganyika kwa kutumia vibaya mamlaka na madaraka yake ya u - Rais kugawa urithi na mali asili za Watanganyika ikiwemo bandari zote za bahari na maziwa makuu.

Kwenda kumsalimia Tundu Lissu hospitalini haiwezi kuwa ni kibali Cha yeye (Rais Samia) kuachwa tu akifanya makosa ktk uongozi wake bila kukemewa au kuambiwa ulichofanya siyo, umekosea!!

Utakuwa ni ujinga na upumbavu kumwacha rafikio akiharibikiwa bila kumshauri au kumwambia kwa kigezo kuwa atakuonaje ukimwambia unakosea wakati jana au juzi alikupa msaada wa chakula chake ukaokoa njaa yako!

Bila shaka utakuwa mjinga sana kuwa na akili za namna hii. Ndivyo ulivyowaza kijinga wewe Shocker na kuja na hoja hii
 
a
Akili yako matope, tena ya masika.. Amuombe msamaha kwa kosa gani?
Kenda hospital kumuona ni warrant ya kufanya maovu asisemwe? akili matope
 
Msamaha kwa lipi inamaana Lisu asiongelee ishu ya bandar kwa masilahi ya mtu mmoja
 
Lissu ni shujaa wa Watanganyika, twaomba Allah ampe maisha marefu ili kuja kutufikisha ktk maisha mazuri yasiyo na mateso.
Ona sasa alichokuwa anawaonya kwenye kipindi cha awamu ya tano ndicho kilichotokea, elewa mafuta yamepanda bei kwa ukosefu wa dolar kwa vile hizo dolar tunawalipa faini wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…