Kenya 2022 Ombi la Zuio la Ruto kuapishwa akishinda Urais lafikishwa Mahakama kuu

Kenya 2022 Ombi la Zuio la Ruto kuapishwa akishinda Urais lafikishwa Mahakama kuu

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo watachaguliwa katika Uchaguzi wa leo

Wamefafanua kuwa Kwa kuzingatia masharti ya Sura ya Sita ya Katiba, kuapishwa kwa Wagombea hao na kushika madaraka itakuwa ni ukiukwaji wa wazi wa Ibara ya 3, 4 na 10 ya Katiba, kwa kuwa wawili hao hawakidhi vigezo vya uadilifu kama ilivyobainishwa katika Katiba hiyo

..............................................

A petition has been filed before the Supreme Court seeking to bar the swearing in of UDA Presidential candidate William Ruto and his running mate Rigathi Gachagua in case they clinch the presidency in the August 9th, General Election.

Through lawyer Kibe Mungai, 11 petitioners argue that the swearing-in of Ruto and Gachagus would be a violation of the Constitution. They claim that the two do not pass the integrity test as enshrined in Chapter Six of the Constitution.

“Given the provisions of Chapter Six of the Constitution, swearing in of the 1st and 2nd Respondents to office will constitute a flagrant violation of Articles 3, 4 and 10 of the Constitution,” reads the petition.

“Unless and until this Honourable Court has determined the constitutionality of the registration and gazettement of the 1st and 2nd Respondents as candidates, it would amount to aiding and abetting illegalities if the Respondents are sworn into office in the event that they get elected.”

Source: Citizen Digital
 
Hso watakuwa wanaota ndoto ya mchana
 
Uchaguzi mwema kwenu na nimependezwa mno na judiciary yenu ipo huru na safi, na ninaamini atakayeona hajatendewa haki atakimbilia kwenye court SIO violence streets protest
 
Kama utani raila gia inabadilishiwa angani hata amini
 
Back
Top Bottom