NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ifikie hatua huu upuuzi upingwe sana aise.Juzi tu huyo kocha alivyokuja watu walipiga deal- wapiga deal wamemtafutia wachezaji kwa shart la kila mchezaji kuitwa timu ya taifa atoe mil 3 , wapo waliotoa ila Shabalala na kapombe wakakataa kutoa hiyo pesa cha ajabu simba na horoya kocha alikuwepo uwanjani baada ya kuuona moto wa shabalala na kapombe kocha akawafata stuff shabalala na kapombe
Ifikie hatua huu upuuzi upingwe sana aise.
Hatari sana, na ndivyo maana nimewapa tahadhari kabisa maana za ndani nimezipataNa hapo kuhusu feisal atacheza tu mkuu na hakuna kitakachotokea
Hatari sana, na ndivyo maana nimewapa tahadhari kabisa maana za ndani nimezipata
Hii ndiyo TanzaniaWewe si unaona hata hiyo mara ya mwisho na amecheza wakati hakuwa katika timu miez sita au saba na hata hawajali- na kuna wachezaji wengi na wana performance nzuri hata kwenye kikosi hawapo
Kweli kabisa mkuuSiyo Feisal hata wachezaji wanaokosa namba kwenye timu zao wasiitwe