Ombi langu kwa TFF: Kocha wa Taifa stars asipangiwe kikosi Cha wachezaji, acheni achague mwenyewe kwa matumizi yake kuelekea mpambano dhidi ya Niger

Ombi langu kwa TFF: Kocha wa Taifa stars asipangiwe kikosi Cha wachezaji, acheni achague mwenyewe kwa matumizi yake kuelekea mpambano dhidi ya Niger

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
NALIA NGWENA kwa maono yangu ya mbali kabisa TFF mtakapo panga kikosi lazima mtapenyeza jina la Feisal Salumu ambaye Hana kabisa mazoezi na haifahamiki Mara ya mwisho kucheza ni lini.

Chonde chonde ninaomba kocha aachwe achague kikosi chake maana alishawaona wachezaji na anawajua vizuri tu.

Hao watu walionyuma ya Feisal Salumu Tena wengine ni viongozi wakubwa tu, wanaotaka mchezaji wao acheze/aonekane na wakati Hana mazoezi yoyote.

Nawasilisha hoja mezani.
 
Juzi tu huyo kocha alivyokuja watu walipiga deal- wapiga deal wamemtafutia wachezaji kwa shart la kila mchezaji kuitwa timu ya taifa atoe mil 3 , wapo waliotoa ila Shabalala na kapombe wakakataa kutoa hiyo pesa cha ajabu simba na horoya kocha alikuwepo uwanjani baada ya kuuona moto wa shabalala na kapombe kocha akawafata stuff shabalala na kapombe na kuuwaambia na kuwauliza Kama wao ni watanzania na kwann? Kwenye kikosi cha timu ya taifa yao hawapo?

Wapiga deal wengi sana maendeleo tutayasikia tu Tanzania nyanja zote
 
Juzi tu huyo kocha alivyokuja watu walipiga deal- wapiga deal wamemtafutia wachezaji kwa shart la kila mchezaji kuitwa timu ya taifa atoe mil 3 , wapo waliotoa ila Shabalala na kapombe wakakataa kutoa hiyo pesa cha ajabu simba na horoya kocha alikuwepo uwanjani baada ya kuuona moto wa shabalala na kapombe kocha akawafata stuff shabalala na kapombe
Ifikie hatua huu upuuzi upingwe sana aise.
 
Hatari sana, na ndivyo maana nimewapa tahadhari kabisa maana za ndani nimezipata

Wewe si unaona hata hiyo mara ya mwisho na amecheza wakati hakuwa katika timu miez sita au saba na hata hawajali- na kuna wachezaji wengi na wana performance nzuri hata kwenye kikosi hawapo
 
Wewe si unaona hata hiyo mara ya mwisho na amecheza wakati hakuwa katika timu miez sita au saba na hata hawajali- na kuna wachezaji wengi na wana performance nzuri hata kwenye kikosi hawapo
Hii ndiyo Tanzania
 
Back
Top Bottom