NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NALIA NGWENA kwa maono yangu ya mbali kabisa TFF mtakapo panga kikosi lazima mtapenyeza jina la Feisal Salumu ambaye Hana kabisa mazoezi na haifahamiki Mara ya mwisho kucheza ni lini.
Chonde chonde ninaomba kocha aachwe achague kikosi chake maana alishawaona wachezaji na anawajua vizuri tu.
Hao watu walionyuma ya Feisal Salumu Tena wengine ni viongozi wakubwa tu, wanaotaka mchezaji wao acheze/aonekane na wakati Hana mazoezi yoyote.
Nawasilisha hoja mezani.