Ombi langu kwa wabunge wa Tanganyika, rudisheni heshima ya Mtanganyika!

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,944
Ndugu zanguni

Uchadema na UCCM pembeni

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI natopkea Kalenga Iringa Tanganyika ambako toka nizaliwe sijawahi kuona wala kusikia faida ya kuwa na kipande kinachoitwa zanzibar

Nilitokea kalenga na nitazikwa kumwitikila kalenga kwenye makaburi ya LUKOSI

Kama CCM watanichukia kwa hili basi na iwe

Mimi nawaomba wabunge wote wa tanmganyika watumie haki yao kama vil;e wale wa zanzibar wanavyotumia haki yao kungu'nika kila kukicha

Mtanganyika rusdisha heshima ya nchi yako utambulike duniani

Mtanganyika unastahili heshima kubwa kuliko huyu sisimizi

Mbunge wa Tanganyika dai taifa lako utambuliwe tuwe na amani

Mtanganyika unafaidika vipi na hawa watu wenye ardhi sawa na shamba tu la babu yangu?

WABUNGE WA TANGANYIKA SIMAMENI MTUWAKILISHE KAMA WENZETU WANAVYOWAKILISHWA

RUDISHENI TANGANYIKA TUWE PROUD

NI UJINGA KUWACHIA WAZANZIBARI WAPIGE KEKELELE KILA KUKICHA WAKATI SISI HATUNA SERIKALI

LEO KUNA WAZIRI WA ZANZIBAR TANGANYIKA LAKINI HAKUNA WAZIRI WA TANGANYIKA ZANZIBA, HUU NI UPUMBAVU

JITAMBUE!
 
Cha muhimu ni Tanganyika au fikra za mwenyekiti?

Kalago baho!
 
Mi nahisi huu ujumbe uende kwa CCM tu!
Sidhani kama kuna mtu mwengine apart from CCM anaeng'ang'ania muungano!
 
Well said Chris Lukosi ila nasikitika wengi hutanguliza maslahi ya vyama mbele na hoja yako ya msingi itafunikwa
 
Last edited by a moderator:
Well said Chris Lukosi ila nasikitika wengi hutanguliza maslahi ya vyama mbele na hoja yako ya msingi itafunikwa
Kwa hili hata nikifukuzwa poa tu lakini nakuwa nimeweka mambo bayana, hawa wazanzibari wanapiga kelele kila kukicha utadhani kuna kitu tunapata kwao wakati mimi nawaona kama kupe tu..

Hebu niambie, wewe unaweza nunu ardhi na kuje nga zanzibar?
 
Naunga mkono hoja, tanganyika kwanza, chama baadae!
Mimi leo nikimuona mzanzibari kalenga anafungua duka sitahojin katoka wapi bali niytmuungisha biashara yangu,

Lakini leo mi mi CHRISTOPHER LUKOSI nikifgungua duka pemba lazima wanilime kidumu cha tindikali
 
CCM haichukii wanachama wake wanaotoa maoni ambayo hayasukumwi na unafiki na ulaghai kwa sababu nguzo kuu ya CCM imesimikwa katika falsafa kuu mbili ambazo ni
1) Imani za Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambazo zinabainika kuwa,
a) Binadamu wote ni sawa.
b) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
c) Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.

2) Ahadi za Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambazo zinasema kuwa,
a) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
b) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
c) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
d) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
e) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
f) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
g) Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu; Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
f) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Hizo unazojaribu kuzianisha hapa ni kero tu ambazo haziwezi kuondoka kwa sababu ya kuwepo na serikali tatu. Sera ya CCM ni serikali mbili kuelekea serikali moja kama ilivyokuwa imeasisiwa na waasisi wa Muungano labda kama unataka kuondoa kero za muungano kwa kuvunja muungano ndiyo unaweza kuondokana na kero hizi ulizozianisha.

Muungano chimbuko lake ni mwafaka wa nchi mbili na mwafaka unapatikana kama pande zote zinakubaliana katika misingi ya muungano kwa sababu kero za muungano ni moja ya changamoto ambazo haziepukiki kwa sababu zinazotokea kila siku kadri jamii na mazingira ya kisiasa yanavyobadilika.

Cha muhimu hapa ni jinsi ya kuondoa kero za muungano kama kweli tunataka muungano uendelee kwa sababu serikali tatu ni mchakato wa kuvunja muungano kwa sababu hata waasisi waliliona hilo baada ya kuuchambua muungano wa kuwa na serikali tatu.
 
ccm haichukii wanachama wake wanaotoa maoni ambayo hayasukumwi na unafiki na ulaghai kwa sababu nguzo kuu ya ccm imesimikwa katika falsafa kuu mbili ambazo ni
1) imani za mwanachama wa chama cha mapinduzi ambazo zinabainika kuwa,
a) binadamu wote ni sawa.
B) kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
c) ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.

2) ahadi za mwanachama wa chama cha mapinduzi ambazo zinasema kuwa,
a) binadamu wote ni ndugu zangu na afrika ni moja.
B) nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
c) nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
D) rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
E) cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
F) nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
G) nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu; nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
F) nitakuwa mwanachama mwaminifu wa ccm na raia mwema wa tanzania na afrika.

Hizo unazojaribu kuzianisha hapa ni kero tu ambazo haziwezi kuondoka kwa sababu ya kuwepo na serikali tatu. Sera ya ccm ni serikali mbili kuelekea serikali moja kama ilivyokuwa imeasisiwa na waasisi wa muungano labda kama unataka kuondoa kero za muungano kwa kuvunja muungano ndiyo unaweza kuondokana na kero hizi ulizozianisha.

Muungano chimbuko lake ni mwafaka wa nchi mbili na mwafaka unapatikana kama pande zote zinakubaliana katika misingi ya muungano kwa sababu kero za muungano ni moja ya changamoto ambazo haziepukiki kwa sababu zinazotokea kila siku kadri jamii na mazingira ya kisiasa yanavyobadilika.

Cha muhimu hapa ni jinsi ya kuondoa kero za muungano kama kweli tunataka muungano uendelee kwa sababu serikali tatu ni mchakato wa kuvunja muungano kwa sababu hata waasisi waliliona hilo baada ya kuuchambua muungano wa kuwa na serikali tatu.
leo kuna waziri wa zanzibar tanganyika lakini hakuna waziri wa tanganyika zanziba, huu ni upumbavu
 
Kwa hili hata nikifukuzwa poa tu lakini nakuwa nimeweka mambo bayana, hawa wazanzibari wanapiga kelele kila kukicha utadhani kuna kitu tunapata kwao wakati mimi nawaona kama kupe tu..

Hebu niambie, wewe unaweza nunu ardhi na kuje nga zanzibar?

Hapo umeongea kama mwanaume! Asili ya wahehe ni ujasiri na wala si kujipendekeza kwa watawala! Hongera kwa kuanza kujitambua! Na ni KWELI TU NDIYO ITAKAYOKUWEKA HURU! NI NI BORA UWE MSEMA KWELI KULIKO KUTETEA KILA KINACHOFANYWA NA CHAMA CHAKO!
 
Mimi leo nikimuona mzanzibari kalenga anafungua duka sitahojin katoka wapi bali niytmuungisha biashara yangu,

Lakini leo mi mi CHRISTOPHER LUKOSI nikifgungua duka pemba lazima wanilime kidumu cha tindikali

Ivi sababu kubwa ya viongozi wa ccm kuing'ang'ania Zanzibar ni nini haswa?
 
Hapo umeongea kama mwanaume! Asili ya wahehe ni ujasiri na wala si kujipendekeza kwa watawala! Hongera kwa kuanza kujimbua! Na ni KWELI TU NDIYO ITAKAYOKUWEKA HURU! NI NI BORA UWE MSEMA KWELI KULIKO KUTETEA KILA KINACHOFANYWA NA CHAMA CHAKO!

Mkuu mimi sio mtu wa kujipendekeza hata siku moja ndio maana sikuiva na DJ

SUALA LA KATIBA NI LA SISI WOTE BILA KUJALI VYAMA
 
Ndugu zanguni

Uchadema na UCCM pembeni

Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI natopkea Kalenga Iringa Tanganyika ambako toka nizaliwe sijawahi kuona wala kusikia faida ya kuwa na kipande kinachoitwa zanzibar

Nilitokea kalenga na nitazikwa kumwitikila kalenga kwenye makaburi ya LUKOSI

Kama CCM watanichukia kwa hili basi na iwe

Mimi nawaomba wabunge wote wa tanmganyika watumie haki yao kama vil;e wale wa zanzibar wanavyotumia haki yao kungu'nika kila kukicha

Mtanganyika rusdisha heshima ya nchi yako utambulike duniani

Mtanganyika unastahili heshima kubwa kuliko huyu sisimizi

Mbunge wa Tanganyika dai taifa lako utambuliwe tuwe na amani

Mtanganyika unafaidika vipi na hawa watu wenye ardhi sawa na shamba tu la babu yangu?

WABUNGE WA TANGANYIKA SIMAMENI MTUWAKILISHE KAMA WENZETU WANAVYOWAKILISHWA

RUDISHENI TANGANYIKA TUWE PROUD

NI UJINGA KUWACHIA WAZANZIBARI WAPIGE KEKELELE KILA KUKICHA WAKATI SISI HATUNA SERIKALI

LEO KUNA WAZIRI WA ZANZIBAR TANGANYIKA LAKINI HAKUNA WAZIRI WA TANGANYIKA ZANZIBA, HUU NI UPUMBAVU

JITAMBUE!

Acha Jazba
 
Acha Jazba
Nani ana jazba?

anaedai kujitenga kwa matusi na kuua au aliekaa pembeni akisikiliza

Mimi natumia jina langu halisi hapa bila kuficha nakuambia kuwa nauchukia muungano kuliko wewe unavyouchukia huko mafichoni

SASA KAZI KWAKO

JITENGE KENGE WEE!
 
Mimi sio mnafiki hivyo nasema ukweli

I HATE THIS NDOA YA MKEKA

Huu muungano ni sawa na ndoa ya tembo na sisimizi, sijui kuna uiano gani hapo
 
CCM haichukii wanachama wake wanaotoa maoni ambayo hayasukumwi na unafiki na ulaghai kwa sababu nguzo kuu ya CCM imesimikwa katika falsafa kuu mbili ambazo ni
1) Imani za Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambazo zinabainika kuwa,
a) Binadamu wote ni sawa.
b) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
c) Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.

2) Ahadi za Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambazo zinasema kuwa,
a) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
b) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
c) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
d) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
e) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
f) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
g) Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu; Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
f) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Hizo unazojaribu kuzianisha hapa ni kero tu ambazo haziwezi kuondoka kwa sababu ya kuwepo na serikali tatu. Sera ya CCM ni serikali mbili kuelekea serikali moja kama ilivyokuwa imeasisiwa na waasisi wa Muungano labda kama unataka kuondoa kero za muungano kwa kuvunja muungano ndiyo unaweza kuondokana na kero hizi ulizozianisha.

Muungano chimbuko lake ni mwafaka wa nchi mbili na mwafaka unapatikana kama pande zote zinakubaliana katika misingi ya muungano kwa sababu kero za muungano ni moja ya changamoto ambazo haziepukiki kwa sababu zinazotokea kila siku kadri jamii na mazingira ya kisiasa yanavyobadilika.

Cha muhimu hapa ni jinsi ya kuondoa kero za muungano kama kweli tunataka muungano uendelee kwa sababu serikali tatu ni mchakato wa kuvunja muungano kwa sababu hata waasisi waliliona hilo baada ya kuuchambua muungano wa kuwa na serikali tatu.

Acha ngonjera zako wewe! Hakuna faida yoyote ambayo watanganyika tunaipata ktk huu muungano kwa sasa! Isitoshe hata hao wazanzibari wenyewe waliowengi hawauhitaji aina hii ya muungano! Kama kuna faida basi wanayoipata ni baadhi tu ya viongozi wa ccm na serikali yake na si wananchi wa pande zote mbili! TANGANYIKA KWANZA MUUNGANO BAADAYE!@Mwanadiwani! Na wote wenye mtazamo kama wako!
 
Nani ana jazba?

anaedai kujitenga kwa matusi na kuua au aliekaa pembeni akisikiliza

Mimi natumia jina langu halisi hapa bila kuficha nakuambia kuwa nauchukia muungano kuliko wewe unavyouchukia huko mafichoni

SASA KAZI KWAKO

JITENGE KENGE WEE!

Hiyo lugha inatoka wapi? kuna sababu kweli ya kutukanana? Mimi nimekuomba acha jazba jadili tu, sasa wewe unanirushia matusi? Mimi sijawahi kula nyama ya mbwa na mboga za majani ya bangi. Tuheshimiane
 
Kwani kenge nitusi?

Kenge ni mnyama kama mamba tu, tofauti ni tabia.

KENGE ANA MIMACHO MIKUBWA NA KILA WAKATI HUGEUKA KUANGALIA NYUMA KWA HOFU! wakati mamba ni mtulivu....
 
Back
Top Bottom