MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Eh!? Mbona hakuna Wabunge wa Tanganyika?
Mkuu hilo ni gumu kuuelezea kwa serikali ya ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh!? Mbona hakuna Wabunge wa Tanganyika?
Hata serikali mbili haimo kwenye rasimu ya Katiba! sasa kwa nini mnapigia debe serikali mbili?anasema anauchukia muungano kwa maana nyingine anataka tuvunje muungano kitu ambacho hakipo hata kwenye swala zima la Rasimu ya Katiba..
Hoja yake haieleweki kimantiki.
Asante sana mkuuMwanaDiwani
Kwa wanaCCM kutoa maoni haimaniishi kuwa wanakwenda kinyume na falsafa kuu ulizotaja
Naomba nikuulize
1. Kama wewe ni mtanzania bara umenufaika nini na muungano huu?
2. Unapoongelea kero za muungano; hivi kero hizi wanaoziona ni wazinzibar peke yao?
3. Ikiwa serikali 3 ni mzigo kwa nini 2 usiwe mzigo?
4. Muungano wa kweli ni ule wenye ridhàa ya wananchi; hivi kinaogopwa kitu gani kuupeleka kwa wananchi ili upate ridhaa ya kweli?