MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,266
leo kuna waziri wa zanzibar tanganyika lakini hakuna waziri wa tanganyika zanziba, huu ni upumbavu
Kwanza kama ungeelewa mantiki ya muungano kabla ya kujenga hoja usingesema leo hakuna waziri wa 'Tanganyika' aliyeko Zanzibar ambapo ninaamini una maana ya serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Pitia kwanza kwenye hii thread usome hoja alizojenga Mwasisi wa Muungano kupitia kitabu alichoandika kinachoitwa Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania
Hii itakusaidia sana kujenga hoja mbadala badala ya kujenga hoja zinazobainisha matokeo ambayo ambayo kwa lugha nyingine ni kero za Muungano