MwanaDiwani
Kwa wanaCCM kutoa maoni haimaniishi kuwa wanakwenda kinyume na falsafa kuu ulizotaja
Naomba nikuulize
1. Kama wewe ni mtanzania bara umenufaika nini na muungano huu?
2. Unapoongelea kero za muungano; hivi kero hizi wanaoziona ni wazinzibar peke yao?
3. Ikiwa serikali 3 ni mzigo kwa nini 2 usiwe mzigo?
4. Muungano wa kweli ni ule wenye ridhàa ya wananchi; hivi kinaogopwa kitu gani kuupeleka kwa wananchi ili upate ridhaa ya kweli?