Ombi langu kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Ombi langu kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

The Memory

Member
Joined
Apr 11, 2026
Posts
28
Reaction score
52
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba.

Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku, kulitumikia taifa letu la Tanzania, ili liweze kupiga hatua kubwa katika maendeleo yanayo gusa nyanja zote muhimu katika maisha ya mwanadamu.

Lengo la kukuandika uzi huu hapa Jamiiforum,ni kukuomba wasaa na fursa ya kupata nafasi ya kukufikishia barua yangu binafsi kwako, ambayo nimesha iandaa toka mwezi Aprili,2026.

NB:Wana JF wenye uwezo na nafasi ya kunisaidia jambo langu hili naombeni msaada wenu wa hali na mali

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom