The Memory
Member
- Apr 11, 2026
- 28
- 52
Mkuu Sija zungumzia uchaguzi.Kwa uchaguzi gani halali
Nawaza tu Hawa waheshimiwa Huwa Wana jibu PM kweli ? bila wao kusema ifanye hivyo ?Ungetia uzito kwa kutumia username yako ya zamani,Enewei ni mwana Jf mwenzetu mfuate PM
Huwezi jua siku hiyo kaamka vizuri anakujibu!Nawaza tu Hawa waheshimiwa Huwa Wana jibu PM kweli ? bila wao kusema ifanye hivyo ?
Nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu 🙏Huwezi jua siku hiyo kaamka vizuri anakujibu!