MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #41
Sawa kuna jambo lingine unataka kujulishwa mamii?Alaa kumbe , mimi sikuwepo lakini afdhali wee ulikuwepo umenijulisha πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kuna jambo lingine unataka kujulishwa mamii?Alaa kumbe , mimi sikuwepo lakini afdhali wee ulikuwepo umenijulisha πππππ
Asante sana nimeelewa vizuri πSawa kuna jambo lingine unataka kujulishwa mamii?
KaribuAsante sana nimeelewa vizuri π
Mimi nimeishaamua, nitajiunga na kanisa la huyu mtumishi. Ninaunga mkono hoja.Baba Askofu,
Nimesoma nyaraka zako nyingi unazozitoa kwa kwa Watanzania wote. Kimsingi, ujumbe wako ni fikirishi, thabiti na hitimishi. Thamani ya ujumbe wako ni wa-kiungu unaoishi na kubeba kweli isiyopingika.
Kwakuwa wewe ni mtumishi wa Mungu na hakuna shaka Mungu anafanya kazi ndani yako, mimi kama mguswa nina ombi maalumu.
Naomba uzikusanye nyaraka zako na kuziweka pamoja kwa mfumo wa kitabu ili zidumu na zisambae kwa walengwa kwa urahisi.
Aidha, ninzidi kukutia moyo uendelee kufanya kazi ya Bwana bila kuchoka kama walivyofanya mitume wenzako akina Pauli na Peter ambao nao walitoa nyaraka nyingi kwa jamii zao katika wakati wao.