Ombi maalum kwa wale tu wanaonipenda na kuvutiwa nami sana kiuwasilishaji wangu hapa JamiiForums

Ombi maalum kwa wale tu wanaonipenda na kuvutiwa nami sana kiuwasilishaji wangu hapa JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE), nawaombeni acheni kunisifia huko ili kutowakera wanaonichukia. Badala yake muwe mnaanzisha tu threads za kunisema vibaya ili wafurahi na waridhike wao, sawa?

Na mkiweza zaidi badala ya kunianzishja threads za kunisifia hapa JamiiForums, basi mimi GENTAMYCINE nawaomba muwe mnatumia muda wenu huo wa upendo na kunipenda kwenu kwa kuniombea baraka zaidi na nyingi kwake Baba Muumba Mwenyezi Mungu (Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo) ili niendelee kuwa na tofauti kubwa na wapumbavu wote wenye chuki na husuda nami mjukuu wa Mtemi wa Wazanaki wa (mkoani Mara) nchini Tanzania. Na pia mwenye damu tukuka ya Kitutsi tokea mkoani Gisenyi nchini Rwanda bila ya kuisahau na damu ya Kimakuwa (Mtwara).

Asante Mwenyezi Mungu kwa baraka!
 
Sasa mjomba si utulie? Washakuelewa.. mwishoe wamuite Matola hapa muanze kubishana wakupige ban na u charismatic wako.
 
Tafadhali kutokana na nyie kila mara ( kwa Upendo na Mapenzi yenu nami ) mnaamua kueleza Hisia zenu Kwangu na Kunisifia na Kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu ( Mimi GENTAMYCINE ) nawaombenj acheni Kunisifia huko ili Kutowakera Wanaonichukia badala yake muwe mnaanzisha ru Threads za Kunisema vibaya ili Wafurahi na Waridhike wao sawa?

Na mkiweza zaidi badala ya Kunianzishja Threads za Kunisifia hapa JamiiForums basi Mimi GENTAMYCINE nawaomba muwe mnatumia muda wenu huo wa Upendo na Kunipenda Kwenu kwa Kuniombea Baraka zaidi na nyingi Kwake Baba Muumba Mwenyezi Mungu ( Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo ) ili niendelee kuwa na tofauti Kubwa na Wapumbavu wote wenye Chuki na Husuda nami Mjukuu wa Mtemi wa Wazanaki wa ( Mkoani Mara ) nchini Tanzania na pia mwenye Damu Tukuka ya Kitutsi tokea Mkoani Gisenyi nchini Rwanda bila ya kuisahau na Damu ya Kimakuwa ( Mtwara )

Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka!
Kuna siku nimecomment sehemu nikashangaa mtu kaniita Genta... nikabqki nashangaa mimi kidonge cha kutuliza maumivu ntafananishwaje na antibiotic?

Baada ya kusema hayo, napenda kuchukua fursa hii kuwapomgeza IHEFU kwa kufanikiwa kuuweka mwiko vizuri kwenye nyuma ya utopolo...

Utopolo mwiko nyuma....
 
Inasemakana kati ya watanzania wanne, watatu ni vichaa.
 
Genta ni mandazi kama mandazi mengine tu na wala hakuna haja ya kumuunderfear
 
Tunskuombea mkuu tunaokukubali ni wengi na tunaokuchukia ni wengi iLa sote ni wamoja barikiwa sana
 
Niulizie Kwake mbona ID's zingine zikianzisha hapa Threads za Kunisema vibaya huwa hawajitokezi kusema kuwa nazo ni ID's zangu?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Mkuu, achana na hao wanaokusema vibaya, kama nyota yako inang'aa, itaendelea kung'aa daima

Mimi binafsi na maelfu ya watanzania tunaofuatilia nyuzi na replies zako tutakuwa pamoja nawe hadi ukamilifu wa dahari!

GENTAMYCINE forever
Tuko pamoja mkuu[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom