Chadema hawapendi kuusikia huu ushauri!Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Cdm.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Cdm ambayo imelala chari kifo cha mende.
Sema CCM ianzishe tawi jipya, chini ya jina jipya, mwenyekiti awe SlaaHapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Cdm.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Cdm ambayo imelala chari kifo cha mende.
Kidogo sanaUnajua kusoma?
Slaa ni mwana CCMKwani Chadema ni tawi la Ccm?
Wanamwita father mzinifu aliyeshindwa kuishi viapo vyake! CCM waliitumia sana hii.Hana thamani tena huyo.
Mmeshamtema kwenye Ubalozi, mmetumia kama nanihiii sasa hivi hana chakeHapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.