Hiv huyu mzee bado anaishi na mchumba ake?.Jamani ni kwa nia njema tuuHapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Ni chama cha maendeleoChadema ni chama cha upinnzani
Kuanzisha chama kikawa chama pinzani, kinachukua muda siyo kama kuchemsah maji ya chai ama kiaziHapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Ohhh pole ndugu, basi enenda nae mkaanzishe chama chenu kivyenu vyenu.None sense
Mmeshamtema kwenye Ubalozi, mmetumia kama nanihiii sasa hivi hana chake
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
CCM inatosha Idugunde . Mambo ya vyama vya upinzani ni umagharibi. CCM tunaenda na Mama 2025 mpaka 3035Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Ni wazo zuri sana, anaweza akapata wafuasi, ambao baadhi wanaweza wakawa wanaChadema, hii itaipunguza nguvu Cdm na kusaidia CCM walau iendelee kuwepo.Mwache Mzee apumzike aachene na hizi siasa uchwara.
gaidi yumo gerezani acha upumbuvuAsante sana studio.... Hii ng'ombe ya gaidi mwendazake imechanganyikiwa
Kuliko weye unayewashwa kiuno?Guniooo!Ndio viherehere!
Acha uzushi.Slaa huyu huyu aliyehongwa na kikwete bilion 7 ili asaliti upinzani 2015?
Au mnafikiri mafaili yake hatuna?
Mpinzani Nchi hii Ni Tundu Lissu tu!!
Slaa nje ya chadema Ni sawa na samaki bila maji.
Yupo yupo tu, Sponsor kafarikiKwa sasa ana ishu gani mzehe?