Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Umeanza na mtoa mada 🤣🤣Acha ujinga
Umeona sasa hapo ungenitupia tu kaimoji safi kabisa hahahaacha ujinga ERTUGRUL BEY
Ili uongozi wa JF , UJUE kuwa hili wazo ni zuri, waache ujinga ,walifanyie kaziUmeanza na mtoa mada 🤣🤣
Hiki kinanikeraga Mimi😀😀
Wasisahau na kuiwekea Kucha ili tujue muelekeo wake.🖕 iwekwe na iongezwe ukubwa kidogo kwa faida ya members