World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
- Thread starter
- #21
Mfano ni chama gani mbali na CCM?Kwani watu wameisha? chama chochote ambacho kitakuwa kimejaa watu wazalendo na wapenda haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni chama gani mbali na CCM?Kwani watu wameisha? chama chochote ambacho kitakuwa kimejaa watu wazalendo na wapenda haki
Ndio ila kwenye hii HAPANAKodi kwa maendeleo ya Taifa.
Unataka chama cha nini? nchi itaongozwa na watanzania wapenda maendeleo. OverMfano ni chama gani mbali na CCM?
Sawa ila Katiba ya Tanzània chama Cha siasa ndio Kinaongoza nchi ndio maana CCM na CHADEMA wanaminyana kila mmoja anataka hii nafasiUnataka chama cha nini? nchi itaongozwa na watanzania wapenda maendeleo. Over
Kwani katiba haiwezi kubadilishwa? hakuna mahali pameandikwa lazima CCM au CHADEMA waongoze, watanzania wataongozaSawa ila Katiba ya Tanzània chama Cha siasa ndio Kinaongoza nchi ndio maana CCM na CHADEMA wanaminyana kila mmoja anataka hii nafasi
Umeongea jambo la msingi sana Katiba Mpya lakini matokeo ya hili wanasiasa wanapenyeza masilahi yao ndio maana kila mwaka linafeliKwani katiba haiwezi kubadilishwa? hakuna mahali pameandikwa lazima CCM au CHADEMA waongoze, watanzania wataongoza
TuamkeUmeongea jambo la msingi sana Katiba Mpya lakini matokeo ya hili wanasiasa wanapenyeza masilahi yao ndio maana kila mwaka linafeli
Na tufanye kazi zaidiTuamke
Salama lakini ndg yanguUnataka chama cha nini? nchi itaongozwa na watanzania wapenda maendeleo. Over
Niko poaSalama lakini ndg yangu
Nyie UWT ina wahusu nini? kwani CUF/UDPD/UDP/TLP zina fedha?CHADEMA kwanini mlimtoa Mbowe wakati uwezo wa kipesa hamnao?
Wale wote wanasaidiwa na CCMNyie UWT ina wahusu nini? kwani CUF/UDPD/UDP/TLP zina fedha?
CHADEMA wamekwambia wamekwama?Wale wote wanasaidiwa na CCM
Maza anateswa na udini haswa
Udini upi unaozidi ule wa CHADEMA?Maza anateswa na udini haswa
UWT hamuwezi kuelewaUdini upi unaozidi ule wa CHADEMA?
CHAMA Cha UbwabwaCCM tukiitoa tuweke chama Gani?
CCM haiwezi kutolewa kwa sababu inatatua matatizo ya watu ndio maana Leo Rais anaunda tume ili kupitia misururu ya Kodi,CHAMA Cha Ubwabwa
Sheria kandamizi ya PAYE inalazimisha mtu yeyote anaepata mshahara kuanzia 540,000 akatwe 30% ya kodi...ni 30% ya ile pesa inayovuka baada ya kima cha chini...sio 540000 yote inayokatwa...Huu ni uonevu wa kiwango Cha Juu sana, Sasa kama ni Kodi kwanini wasikate 9% ya Mama Samia wakate 30%?