Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

Sawa ila Katiba ya Tanzània chama Cha siasa ndio Kinaongoza nchi ndio maana CCM na CHADEMA wanaminyana kila mmoja anataka hii nafasi
Kwani katiba haiwezi kubadilishwa? hakuna mahali pameandikwa lazima CCM au CHADEMA waongoze, watanzania wataongoza
 
IMG-20250228-WA0171.jpg
 
CHAMA Cha Ubwabwa
CCM haiwezi kutolewa kwa sababu inatatua matatizo ya watu ndio maana Leo Rais anaunda tume ili kupitia misururu ya Kodi,

Hii ndio maana halisi ya Serikali sikivu
 
Huu ni uonevu wa kiwango Cha Juu sana, Sasa kama ni Kodi kwanini wasikate 9% ya Mama Samia wakate 30%?
Sheria kandamizi ya PAYE inalazimisha mtu yeyote anaepata mshahara kuanzia 540,000 akatwe 30% ya kodi...ni 30% ya ile pesa inayovuka baada ya kima cha chini...sio 540000 yote inayokatwa...

Kama kima chako cha chini cha mshahara 350,000 basi inayokatwa hiyo 30% ni ile inayozidi yaani 190,000 ndiyo taxable kwa 30%

Tusichanganye hapa.

Labda kama sheria ya kodi imebadilika maana nishatoka kwenye payroll tangu 2015
 
Back
Top Bottom