Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku.

Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.

Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi ujao

Nitafurahi sana yoyote akinipa utaratibu wapi naanzia kabla ya uchaguzi 29 Oct 2025

Barikiwa kwa msaada wako kwa hili
 
Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.
Unajivunia kua masikini wa kutupwa!

Umasikini sio sifa Mkuu,au ulikua unamaanisha nini hapo?

Huo ushauri wako kwa hao uliowataja ni bora ungeuweka hapa coz ushauri huo utawafikia kiurahisi zaidi na kwa haraka zaidi coz kuonana nao unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa baada ya tarehe uliyoitaja.
 
We andika hapa hapa ujumbe utawafikia jombi uzuri huto suffer consequences
 
Unajivunia kua masikini wa kutupwa!

Umasikini sio sifa Mkuu,au ulikua unamaanisha nini hapo?

Huo ushauri wako kwa hao uliowataja ni bora ungeuweka hapa coz ushauri huo utawafikia kiurahisi zaidi na kwa haraka zaidi coz kuonana nao unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa baada ya tarehe uliyoitaja.
Mkuu umaskini sio sifa nakubali kwa asilimia mia ,maana hata nchi ambazo zimeendelea maskini wapo ila sio kama wa nchi za kiafrika , samahani ila wenda nimekujibu mkuu wangu,

Nisaidie hizo no za wakuu niliowataja private or official unakua umenisadia sana , natamani kupata appointment kila ofisi kwa mda wake .

Thanks mkuu
 
Daaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
Ndo tatizo linaanzia hapo sasa ,kwamba sikuwahi ndo iwe nyundo ya kunyimwa ombi langu mkuu , kwamba wanaoweza kuwaona wana nini na mimi nishindwe kuna nini.

Nimechoka ghafla kwa majibu yako mkuu , wajua nini ujumbe wangu kwao tukikutana?
 
Siyo Rahisi ila inawezekana, Kuna Channel za Kufuata ila Siyo Rahisi.

Ndio maana Nikakuulixa Ushawahi kwenda hata kwa Mwenyekiti na Balozi wako
 
Daaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
Anzia kwenye andiko langu mie maskini ila umaskini wangu may be ndo kipimo MUNGU amenipia , na sishutuki mwenye no za hao wakuu nipe , hapa ugonvi uko wapi mkuu, jambo ningetaka waeleza unalijua mkuu
 
Mkuu umaskini sio sifa nakubali kwa asilimia mia ,maana hata nchi ambazo zimeendelea maskini wapo ila sio kama wa nchi za kiafrika , samahani ila wenda nimekujibu mkuu wangu,

Nisaidie hizo no za wakuu niliowataja private or official unakua umenisadia sana , natamani kupata appointment kila ofisi kwa mda wake .

Thanks mkuu
# Acha mbwembwe IGP & CDF kuwaona sio kama unavyo zani unaenda Kwa Balozi wa nyumba kumi, alafu huo ushauri wako utazani umetumwa na Malaika Gabriel we tulia kura ugali lala
 
Daaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
Ebu tueshimiane mkuu ,ndio hatuna vyeo , hatuna elim , ila jua Duniani hakuna mpumbavu wa kudum , yule Mbunge Msukuma mpaka bunge linaisha ni dr sasa wewe waleta upumbavu gani hapa , jikite kwenye ombi langu hapo juu
 
Vipi ningesema mh Rais kama hawa ni ngumu kuwaona? Ebu acha izi mkuu.

CDF ni ofis, IGP ni ofisi pia why sema ni ngumu kuonana nao?

Ndio najua wapo na majukum mengi ila wakiwa nje ya majukum ofisi inakua imefungwa kwa mle ndani ya ofisi hakuna watu wakukusikiliza , na hakuna mawasiliano ya moja kwa moja toka ofisini kwake wapi alipo , mbona unachukulia mambo poa sana namna hii mkuu
 
W
Ebu tueshimiane mkuu ,ndio hatuna vyeo , hatuna elim , ila jua Duniani hakuna mpumbavu wa kudum , yule Mbunge Msukuma mpaka bunge linaisha ni dr sasa wewe waleta upumbavu gani hapa , jikite kwenye ombi langu hapo juu
Wewe uhitaji kuonana na CDF, unahitaji kuoanana na Daktari wa Akili
 
Siyo Rahisi ila inawezekana, Kuna Channel za Kufuata ila Siyo Rahisi.

Ndio maana Nikakuulixa Ushawahi kwenda hata kwa Mwenyekiti na Balozi wako
Nipe utaratibu ndo ombi langu tokana na mada husika kwani nimekataa fuata huo utaratibu mkuu , that's nikaomba ,sasa ugonvi unatoka wapi mkuu ?
 
acha kumtisha hao ni watumishi wa Umma nenda Offce za Police Dodoma makao makuu Utapata kukutana nae au kupangiwa siku ya kukutana nae
 
Unajivunia kua masikini wa kutupwa!

Umasikini sio sifa Mkuu,au ulikua unamaanisha nini hapo?

Huo ushauri wako kwa hao uliowataja ni bora ungeuweka hapa coz ushauri huo utawafikia kiurahisi zaidi na kwa haraka zaidi coz kuonana nao unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa baada ya tarehe uliyoitaja.
Mkuu yapo mambo sio ya public , mfano mie ni mtu imani isifungamana na imani ya upande wowote ,sasa nikiyamwaga hapa mkuu wangu tutaelewana ? Na wakati huo nimeambiwa nimpelekee mtu flani na ayasikie ,je sinakuwa nimevunja agano mkuu , samahani ni nimekujibu vibaya mkuu
 
Back
Top Bottom