4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Unajivunia kua masikini wa kutupwa!Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.
Mkuu umaskini sio sifa nakubali kwa asilimia mia ,maana hata nchi ambazo zimeendelea maskini wapo ila sio kama wa nchi za kiafrika , samahani ila wenda nimekujibu mkuu wangu,Unajivunia kua masikini wa kutupwa!
Umasikini sio sifa Mkuu,au ulikua unamaanisha nini hapo?
Huo ushauri wako kwa hao uliowataja ni bora ungeuweka hapa coz ushauri huo utawafikia kiurahisi zaidi na kwa haraka zaidi coz kuonana nao unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa baada ya tarehe uliyoitaja.
Ndo tatizo linaanzia hapo sasa ,kwamba sikuwahi ndo iwe nyundo ya kunyimwa ombi langu mkuu , kwamba wanaoweza kuwaona wana nini na mimi nishindwe kuna nini.Daaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
Hayo ni makosa tu ya kuandika ,nipe msaada kwa ombi tajwa hapo juu mkuu wanguMahalumu = Maalumu, kiswahili chenyewe mgogoro ndio unataka kuongea na kina CDF
Siyo Rahisi ila inawezekana, Kuna Channel za Kufuata ila Siyo Rahisi.Ndo tatizo linaanzia hapo sasa ,kwamba sikuwahi ndo iwe nyundo ya kunyimwa ombi langu mkuu , kwamba wanaoweza kuwaona wana nini na mimi nishindwe kuna nini.
Nimechoka ghafla kwa majibu yako mkuu , wajua nini ujumbe wangu kwao tukikutana?
Anzia kwenye andiko langu mie maskini ila umaskini wangu may be ndo kipimo MUNGU amenipia , na sishutuki mwenye no za hao wakuu nipe , hapa ugonvi uko wapi mkuu, jambo ningetaka waeleza unalijua mkuuDaaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
# Acha mbwembwe IGP & CDF kuwaona sio kama unavyo zani unaenda Kwa Balozi wa nyumba kumi, alafu huo ushauri wako utazani umetumwa na Malaika Gabriel we tulia kura ugali lalaMkuu umaskini sio sifa nakubali kwa asilimia mia ,maana hata nchi ambazo zimeendelea maskini wapo ila sio kama wa nchi za kiafrika , samahani ila wenda nimekujibu mkuu wangu,
Nisaidie hizo no za wakuu niliowataja private or official unakua umenisadia sana , natamani kupata appointment kila ofisi kwa mda wake .
Thanks mkuu
Ebu tueshimiane mkuu ,ndio hatuna vyeo , hatuna elim , ila jua Duniani hakuna mpumbavu wa kudum , yule Mbunge Msukuma mpaka bunge linaisha ni dr sasa wewe waleta upumbavu gani hapa , jikite kwenye ombi langu hapo juuDaaaah Tanzania Inahitaji Elimu.. Ushakutana hata na Mwenyekiti au Balozi wako wa Mtaa
Vipi ningesema mh Rais kama hawa ni ngumu kuwaona? Ebu acha izi mkuu.Ebu tueshimiane mkuu ,ndio hatuna vyeo , hatuna elim , ila jua Duniani hakuna mpumbavu wa kudum , yule Mbunge Msukuma mpaka bunge linaisha ni dr sasa wewe waleta upumbavu gani hapa , jikite kwenye ombi langu hapo juu
Wewe uhitaji kuonana na CDF, unahitaji kuoanana na Daktari wa AkiliEbu tueshimiane mkuu ,ndio hatuna vyeo , hatuna elim , ila jua Duniani hakuna mpumbavu wa kudum , yule Mbunge Msukuma mpaka bunge linaisha ni dr sasa wewe waleta upumbavu gani hapa , jikite kwenye ombi langu hapo juu
Ok kwani katika andiko langu nilimtaja CDF peke yake , mbona na wengine why kimbilia kwa CDF tu , hapa unakosea mkuuW
Wewe uhitaji kuonana na CDF, unahitaji kuoanana na Daktari wa Akili
Mkuu umenitukana kwa akili sana kwamba sihitaji onana na CDF ila vichaa ,hujafanya sawa mkuu ,mie niliomba msaada na badala ya msaada unaniita kichaa , umenikosea mkuuW
Wewe uhitaji kuonana na CDF, unahitaji kuoanana na Daktari wa Akili
Nipe utaratibu ndo ombi langu tokana na mada husika kwani nimekataa fuata huo utaratibu mkuu , that's nikaomba ,sasa ugonvi unatoka wapi mkuu ?Siyo Rahisi ila inawezekana, Kuna Channel za Kufuata ila Siyo Rahisi.
Ndio maana Nikakuulixa Ushawahi kwenda hata kwa Mwenyekiti na Balozi wako
Mkuu yapo mambo sio ya public , mfano mie ni mtu imani isifungamana na imani ya upande wowote ,sasa nikiyamwaga hapa mkuu wangu tutaelewana ? Na wakati huo nimeambiwa nimpelekee mtu flani na ayasikie ,je sinakuwa nimevunja agano mkuu , samahani ni nimekujibu vibaya mkuuUnajivunia kua masikini wa kutupwa!
Umasikini sio sifa Mkuu,au ulikua unamaanisha nini hapo?
Huo ushauri wako kwa hao uliowataja ni bora ungeuweka hapa coz ushauri huo utawafikia kiurahisi zaidi na kwa haraka zaidi coz kuonana nao unaweza usifanikiwe au ukafanikiwa baada ya tarehe uliyoitaja.