Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

Una ujumbe gani?
 
acha kumtisha hao ni watumishi wa Umma nenda Offce za Police Dodoma makao makuu Utapata kukutana nae au kupangiwa siku ya kukutana nae
Mkuu so hapa nimemtisha nani , just kuomba taratibu au namna ya kuwaona ndo vitisho kweli , najua wote nimeomba msaada wa kuonana nao zipo taratibu nami nitazifuata kwa mjibu wa sheria kanuni ndogondo zilizopo ,sasa hapa. Vitisho vinatoka wapi , vipi siku nikaomba kuonana na mh rais wa nchi itakuaje ?

Nimeomba utaratibu tu na hatua zote zitafuatwa , mie ni mwananchi mtiifu wa JMT , hivi mpka kumfika uyo mkuu sio upo ukaguzi wa kutosha .

Sasa hapa wapi nimetishia wakuu wangu
 
Kuna wasaidizi wake ukifikisha ujumbe pale ufawafikia.
 
»kuhusu namba za igp, ingia kwenye kurasa zao nenda sehemu ya contact utakuta namba za wote unaowataka kuanzia igp had mkuu wa polisi wa wilaya yako!
»kuhusu cdf nenda kwenye ukurasa wao wa wovuti utakuta na fax na email tuma mawazo yako.
»kuhusu huyo mwingne "hakuna ajuaye lolote"
 
Ushauri juu Mambo yanayohusiana na uchaguzi yatakiwa ukazungumze na tume huru ya uchaguzi ambayo ndicho chombo chenye dhamana ya kuratibu na kusimamia uchaguzi.
IGP, CDF na wengine uliowataja hawahusiki na habari za uchaguzi kwakuwa wao jukumu lao ni kuhakikisha nchi inakuwa salama kabla ya uchaguzi,wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.
 
Mkuu ushapata upenyo wa kufikisha ujumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…