OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu!
Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka!
By
Msemaji wa wasio na mahali pa kusemea!
 
Tulieni mkandarasi anafanya feasibility study kisha mchoro utapelekwa Kwa engineer wa TARURA baadae Kwa Mkemia Mkuu kisha Mwanasheria wa Halmashauri husika. Mwaka wa Fedha 2029/30 ndo fungu litengwe
Aiseeeeee
 
Back
Top Bottom