GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hujasema sababu, huna facts of why aache zaidi umeishia kusema kusema hali ya hewa si nzuri?Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake.
Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla wake na mwakani 2026 arejee.
Asanteni kama mtakuwa mmenielewa.
Huyo ndio Gentamycine a.k.a the Detective...Hujasema sababu, huna facts of why aache zaidi umeishia kusema kusema hali ya hewa si nzuri?
Toa facts, sio story
Bila shaka humjui MariaNaomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake.
Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025 aende akatulie nje ya nchi na asijishughulishe sana na Siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla wake na mwakani 2026 arejee.
Asanteni kama mtakuwa mmenielewa.
Tuishukuru Kenya kwa kuzuia huo ujinga Nchini MwaoTanzanian intelligence has become crude, sluggish, incompetent and inept, led by diabolical socialistic peasants. Back in the 80's nobody would have even noticed the abductions until when it's too late.
Tuishukuru Kenya kwa kuzuia huo ujinga Nchini Mwao
HaijalishiOrdinary Kenyans, not their corrupt government.
Maria yeye binafsi ana hela kuzidi ukoo wenu mpaka vitukuu vyote, hapo bado hujaweka za familia.Ndio ajira yake hiyo labda awe boda sasa
We unapoambiwa hali ya hewa sio nzuri ujue tu kwamba Isirael mtoa roho anaranda randa mitaa aliyepo.Hujasema sababu, huna facts of why aache zaidi umeishia kusema kusema hali ya hewa si nzuri?
Toa facts, sio story
Kweli kabisa kwenye keyboards mtu anaongea chochoteMaria yeye binafsi ana hela kuzidi ukoo wenu mpaka vitukuu vyote, hapo bado hujaweka za familia.