Ombi: Mzee Kikwete msaidie Dogo Aslay arejee kwenye gemu

Ombi: Mzee Kikwete msaidie Dogo Aslay arejee kwenye gemu

Kwahyo tuelewe vipi maaana kuna wanaopinga na wanaokubali
 

Mtu Anakwenda Kufanya Betting Mnataka Asaidiwe!!!!

Tanzania Pamoto Sana

 
Cjasoma hata Uzi wenyewe...Sasa kikwete kawa promota ck hz?au anahusikaje kupandisha na kushusha wasanii?
 
Wakuu huyu dogo ndio alikuwa kinara wa Yamoto Band na kuushtua mji kwa ngoma baada ya ngoma kabla ya story za wambea wa mujini kusema kamali itammaliza maana anajua kuweka mzigo haswaa .

Za chinichini ni kuwa kamali imemmaliza hadi mke na mtoto kukimbia kwa alosto ya ndaga na kuuza Mali zote na Isha kurudi uzaramoni .

Kwa sasa hatoi ngoma amepotea kama upepo hawezi kudaidika arudi town tena na mangoma yake

Kwa kuwa mzee wetu Kikwete amesaidia wasanii hasa wa ukanda wa Pwani na pia yeye hupita humu JF tumuombe amsaidie hata sober house aende Kisha arejee asiwe kama kina Feruuzi, Twenty percent , Daz baba na Chid Benz wasanii wa Pwani ni majanga sana.


USSR
Kupanga ni kuchagua wamuache na uchaguzi wake
 
If I wanna play the game, you have to learn to play it right.
 
Back
Top Bottom