Ombi: Rais Samia ikikupendeza futa Waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.

Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.

Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.

Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .

Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.

Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.

Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
 
Mhe, Rais Mama Samiah Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.
Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.
Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.
Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
Shinda ni TUCTA
 
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.

Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.

Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.

Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .

Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.

Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.

Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
Toshekeni na mishahara yenu
 
Waxo jema.
Mama ni msikivu atalifanyia kazi.

Ila amesema mjitambue

Yaani si kuletewa waraka mkae kimya mpaka baba alale.

Pazeni sauti bila kuogopa.

Anyway na mimi nachukua fomu

Umenisemea
 
Pia na hao watumishi wa umma ni vema wakae katika taaluma zao!!,

Sio kuwa mazuzu kama Kabudi na wenzake..
 
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.

Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.

Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.

Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .

Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.

Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.

Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
MHESHIMIWA RAIS SIO WARAKA NO.1 WA 2015 TU NDIO UNAOTAKIWA KUFUTWA TUU BALI NYARAKA ZOTE ZA UTUMISHI WA UMMA ZILIZOANDIKWA NA MHESHIMIWA GEORGE D. YAMBESI FUTA ZOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NI ZA KIUBAGUZI NA ZA KUWAUMIZA WATUMISHI WA UMMA WANAOIPENDA NA KUITUMIKIA NCHI YAO MAMA YANGU.CHONDE CHONDE MAMA YETU FUTILIA MBALI HAYA MA YAMBESI ORDERSSSSSSSSSSSSSSSSSSS.YANAWAUMIZA WATUMISHI WAKO
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Likizo na malipo inamaana unataka mshahara upokee ukafanyie kampeni.
 
Kabla hujapitishwa kuwa mgombea na Chama chako huwa Kuna kampeni au hujui kama hujui ndugu
 
Waxo jema.
Mama ni msikivu atalifanyia kazi.

Ila amesema mjitambue

Yaani si kuletewa waraka mkae kimya mpaka baba alale.

Pazeni sauti bila kuogopa.

Anyway na mimi nachukua fomu

Umenisemea
Kasema lini hii mama yetu mpendwa
 
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.

Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.

Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.

Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .

Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.

Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.

Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
Kulitumikia taifa gani Seema mnatafuta fursa nzuri ya kupata feza nyingi muda mchache

Ikiwezakan kbsa iwekwe kuwa ukiamia ktk siasa ufukiwze kbsa utumishi mtulie na Kaz zenu tuwchie ss tupambane huku nyiny s waajiriwa acha Kaz ingia katk siasa
 
MHESHIMIWA RAIS SIO WARAKA NO.1 WA 2015 TU NDIO UNAOTAKIWA KUFUTWA TUU BALI NYARAKA ZOTE ZA UTUMISHI WA UMMA ZILIZOANDIKWA NA MHESHIMIWA GEORGE D. YAMBESI FUTA ZOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NI ZA KIUBAGUZI NA ZA KUWAUMIZA WATUMISHI WA UMMA WANAOIPENDA NA KUITUMIKIA NCHI YAO MAMA YANGU.CHONDE CHONDE MAMA YETU FUTILIA MBALI HAYA MA YAMBESI ORDERSSSSSSSSSSSSSSSSSSS.YANAWAUMIZA WATUMISHI WAKO
Ingekuwa vyema ungeweka hapa hizo nyaraka zilizoandikwa na Yambesi ili tuzifahamu na kuzijadili vyema, na huenda ingesaidia sana katika kufikisha ujumbe kwa Mh. SSH.
Mleta uzi kafanya vyema, nawe fuata mfano wake ndugu KIM JOHN UN
 
Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.

Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.

Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.

Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .

Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.

Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.

Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.
Kongole sana ndugu F4B kwa kuleta uzi huu wenye tija sana kwa mustakabali wa taifa letu.
Mungu akubariki sana.
Huo waraka ndio uliotutengezea "empty heads" wengi kwenye mifumo yetu ya maamuzi kiuongozi kuanzia mitaani/vijijini, katani na majimboni.
Mabaraza yetu ya madiwani, bunge letu na serikali za mitaa/vijiji vimeporwa utendaji wake kwa sababu ya kuwa na watu wasiokuwa na sifa hasa ya elimu, weledi na uzoefu wa kutumikia wananchi.
 
Waraka wa kihuni ulioandikwa na wenye hofu ya kukosa kura.
 
MHESHIMIWA RAIS SIO WARAKA NO.1 WA 2015 TU NDIO UNAOTAKIWA KUFUTWA TUU BALI NYARAKA ZOTE ZA UTUMISHI WA UMMA ZILIZOANDIKWA NA MHESHIMIWA GEORGE D. YAMBESI FUTA ZOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NI ZA KIUBAGUZI NA ZA KUWAUMIZA WATUMISHI WA UMMA WANAOIPENDA NA KUITUMIKIA NCHI YAO MAMA YANGU.CHONDE CHONDE MAMA YETU FUTILIA MBALI HAYA MA YAMBESI ORDERSSSSSSSSSSSSSSSSSSS.YANAWAUMIZA WATUMISHI WAKO
Kabisa ndugu
 
Kongole sana ndugu F4B kwa kuleta uzi huu wenye tija sana kwa mustakabali wa taifa letu.
Mungu akubariki sana.
Huo waraka ndio uliotutengezea "empty heads" wengi kwenye mifumo yetu ya maamuzi kiuongozi kuanzia mitaani/vijijini, katani na majimboni.
Mabaraza yetu ya madiwani, bunge letu na serikali za mitaa/vijiji vimeporwa utendaji wake kwa sababu ya kuwa na watu wasiokuwa na sifa hasa ya elimu, weledi na uzoefu wa kutumikia wananchi.
Heshima kwako residentura na Asante yaani eti Anayepaswa kutunga sheria sifa ajue kusoma na kuandika ila wanaozisimamia wamesoma na ikiwezekana wameenda hadi school of law maajabu.
 
Back
Top Bottom