Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi.
Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma.
Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa.
Nina sababu za kukuomba uufute waraka huo kwa sababu ni wakibaguzi na uonevu mkubwa kwa watumishi wa umma.
Waraka huu umeweka mashariti magumu kwa watumishi wa kuweza Kugombea nafasi tajwa moja ya mashariti ni kuwa mtumishi aombe likizo ya bila malipo Kwa mfano 2020 watumishi wa umma wengi walilazimishwa kuomba likizo hiyo na kuporwa haki yao .
Pili Mimi naona ni kulinyima fulsa taifa kupata watu wenye elimu na weledi wa kulitumikia taifa.
Lakini pia waraka huu umetumika vibaya kuwabagua watanzania wenzetu waliogombea vyama pinzani kwa kufukuzwa kazi moja Kwa moja na serikali huku wale waliogombea kupitia CCM wakirejerehwa kazini.
Pengine nipendekeze kuwa mashariti tajwa yawekwe ikiwa mtu atapata kupitishwa na Chama chake ndipo aombe likizo bila malipo.