Ombi - Saint Dr Ivuga

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Imeandikwa katika vitabu vyote vitakatifu ya kuwa "Ole wake augeuzaye usiku kuwa mchana" huyu hatauona ufalme wa mbingu. Kwa siku za Karibuni huyu Kijana mtakatifu Dr Ivuga amekuwa akikikesha na kulala JF. Nimeangalia post zake nadhani huwa anaposti usiku kucha. Popote alipo lazima atumie muda kulala na walau basi kufanya tendo la ndoa na mkewe. Jamaa yeye ni JF JF ni ugonjwa huu! Mchungaji nikiwa kwenye mikesha ya kanisani ama kuombea walevi Ivuga yeye na JF JF JF...majukwaa yote, Mambo ya Kikubwa, MMU, na hata siasa

Ivuga ni wito na ombi kuna mitandao mingine kama twitter, Facebook n.k

Pumzika mkuu kwa afya yako

Mch mkuu Masa
 
Mkuu inawezekana muda anaoweka hizo post ni mchana kwa saa za huko alipo. Si lazima mfumo wa saa za kule alipo yeye na ulipo wewe ziwe zinafanana.
 
Kuna mtu humu anaitwa mkeshaji sasa sijui nae jina lake linaendana na matendo yake?
 
Rev..
Tunahitaji mlinzi 24/7
sisi masikini na Ivuga kajitolea
(Charity begins at home)
mimi naomba uzidi kulala kwenye keyboard...
hakikisha screen yako inasema JF..
AMEN
 
Mkuu inawezekana muda anaoweka hizo post ni mchana kwa saa za huko alipo. Si lazima mfumo wa saa za kule alipo yeye na ulipo wewe ziwe zinafanana.

Nimejipa nafasi huku niliko, asubuhi, mchana, usiku hata usiku mnene nikichungulia JF Ivuga yeye yupo na camera yake!
 
Hahaaaaaaaa huyu ndie Rev wetu, Bwana kashusha upako juu yake umenifurahisha kweli.
 
Nimejipa nafasi huku niliko, asubuhi, mchana, usiku hata usiku mnene nikichungulia JF Ivuga yeye yupo na camera yake!

Sawa kama umefanya utafiti mkuu. Then it is posibo that he/she is one of the jf's mods. Who knows?
 
Hahaaaaaaaa huyu ndie Rev wetu, Bwana kashusha upako juu yake umenifurahisha kweli.

hahah !! kweli na huu upako inabidi nisiupate mwenyewe nawapa na nyinyi hadi afrodenz sitamsahau
 
Hahahaha huyo Mkeshaji hana ukeshaji wowote!

Refer post no.2 Mkuu. Si lazima kila mtu yupo ulipo wewe au unapofikiria wewe kuwa yupo hapo.
Una uhakika gani kuwa mimi sikeshi?
Anyway sioni sababu ya kubishania hilo kwani kukesha kwangu si kwa sababu/namna unayofikiria/unayotaka wewe.
 
mie nimechoka kabisa na mtakatifu aliye nguli kwenye masuala ya naked!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

bahati nzuri anajua timu ya soka ya kushabikia hapa bongo,
 
Mchungaji na wewe huwa unakesha maana kama unachungulia asubuhi, mchana na usiku basi na wewe ni walewaleee
 
Sawa kama umefanya utafiti mkuu. Then it is posibo that he/she is one of the jf's mods. Who know?


nimeonna niweke picha yangu ili ujue jinsia yangu kijana,tumia ujana wako kufanya kazi ili badae usije ukaja kuhangaika uzeeni, sio unaona watu wanacheza bao kmda wote uanze kulalamika , sisi ujana wetu hatukuuchezea

au ni kosa kuweka picha yangu hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…