Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Imeandikwa katika vitabu vyote vitakatifu ya kuwa "Ole wake augeuzaye usiku kuwa mchana" huyu hatauona ufalme wa mbingu. Kwa siku za Karibuni huyu Kijana mtakatifu Dr Ivuga amekuwa akikikesha na kulala JF. Nimeangalia post zake nadhani huwa anaposti usiku kucha. Popote alipo lazima atumie muda kulala na walau basi kufanya tendo la ndoa na mkewe. Jamaa yeye ni JF JF ni ugonjwa huu! Mchungaji nikiwa kwenye mikesha ya kanisani ama kuombea walevi Ivuga yeye na JF JF JF...majukwaa yote, Mambo ya Kikubwa, MMU, na hata siasa
Ivuga ni wito na ombi kuna mitandao mingine kama twitter, Facebook n.k
Pumzika mkuu kwa afya yako
Mch mkuu Masa
Ivuga ni wito na ombi kuna mitandao mingine kama twitter, Facebook n.k
Pumzika mkuu kwa afya yako
Mch mkuu Masa