Ombi - Saint Dr Ivuga

Nawe naye
Wings za REV hizo
Si jaona order yako bado ..
unataka nini niko jikoni leo ..
hahah lol
hahah !! mimi hapa ni exception sitakiwi kuorder , nitakuwa beneti na rev.hahahaa !! manake hayo mabawa si mchezo aisee
 

Ni kweli hiyo kijana, lakini mhnm !!!!!!!!!!!
 
hahah !! mimi hapa landa ni exception sitakiwi kuorder , nitakuwa beneti na rev.hahahaa !! manake hayo mabawa si mchezo aisee

hahahahaha lol
hutaki extra BBQ sauce hahahah lol

mmhh we mi nakupa RIBS

na kuna sahani ya pili hapa hahah lol
 
bwa h ah ah ah ah aha!!!!!!!!! @new york city
yoyo umenichekesha sana !! ule msaada wa FMES hivi kuna mtu alifaidika nao kweli?
mimi ni wa hapahapa na number yangu ni hii hapa piga usiku tu
0732210678*
keshaanza kutafutia umaarufu wa 2015 ati kawasaidia wabongo kwenda majuu....bwah aha ha ha ha
@New York,USA
 
hahahahaha lol
hutaki extra BBQ sauce hahahah lol

mmhh we mi nakupa RIBS

na kuna sahani ya pili hapa hahah lol

Post nyingine ni dhambi tupu....sasa ndio nini kunitamanisha hivi???!
Kwanza embu njoo kule kabla sijaenda kutafuta mbavu samwea!
 
hahahahaha lol
hutaki extra BBQ sauce hahahah lol

mmhh we mi nakupa RIBS

na kuna sahani ya pili hapa hahah lol
eeh eh eh🙂🙂 wewe mtoto sasa hapo unataka nimtoroke rev nije mwenyewe mazima bila kurudi hahahah!! haya mambo yoyo anayaona tu kwenye desktop yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…