Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
YOYO hii style ya divide and rule nini? hahahahMbona PM zako kibao zaelekea NEW YORK CITY?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YOYO hii style ya divide and rule nini? hahahahMbona PM zako kibao zaelekea NEW YORK CITY?
hapa bibie unanimaliza mtima wangu kabisa:A S-rose:
Post nyingine ni dhambi tupu....sasa ndio nini kunitamanisha hivi???!
Kwanza embu njoo kule kabla sijaenda kutafuta mbavu samwea!
eeh eh eh🙂🙂 wewe mtoto sasa hapo unataka nimtoroke rev nije mwenyewe mazima bila kurudi hahahah!! haya mambo yoyo anayaona tu kwenye desktop yake
AD acha bwana. Mi hapa ubaoufunguo wote umelowa mate.
mmmmmm!! si unanifuta kwa kutumia ulimi?taratibu jamani
angalia hiyo sauce inatiririka pembeni ya mdomo
mmhh sogea hapa nikufute kidoncho...
hahahahha lol
na we hichi si chako nicha Sigma
embu na we sema wataka nini niku karangizie hahah lol
We nichagulie maana kwa jinsi unavyotisha kwenye suala la mapochopocho, yaani balaa.
Post zingine Bana sasa mchungaji umeumiza kichwa ukaamuwa utoke kiivi leo .. sasa si unge pm ... anashinda JF sababu hanakazi ya kufanya ... zaidi ya ku click kile kijisehemu cha NEW POST after every 5 sec ..
hahahahhah!! JF kweli kiboko ,Post zingine Bana sasa mchungaji umeumiza kichwa ukaamuwa utoke kiivi leo .. sasa si unge pm ... anashinda JF sababu hanakazi ya kufanya ... zaidi ya ku click kile kijisehemu cha NEW POST after every 5 sec ..
nawe nayo mmmmhhh