Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.


Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato​

Kidumu CCM
#matege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…