Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

Ni ilo tu? Tunampango wakuwaletea na ndege moja iwe kama bembea ya watoto zenu si mmeamua kufanya hii nchi amusement park.
 
Fisadi magufuli alikurupuka
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Ni fursa mpya imejitokeza ni vizuri ikatumika ipasavyo. Tuna uhaba mkubwa wa maeneo ya kuanika mpunga Chato wakati sakafu kubwa vile inakaa bila kazi!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan magu huko anasema hiiiiiiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah ingekuwa kipindi like ungesakwa na lile Nissan jeupe usiku na mchana hadi upatikane wakupeleke Mikocheni ukaimbe nyimbo zote
Ndio kusema kwa sasa Nissan jeupe nalo halina shughuli, pamoja na watu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…