Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sijui mkuu, wanaojua watatujuzaWafanyakazi wa kiwanja cha chato bado wapo pale au kulikuwa hakuna wafanyakazi pale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuu, wanaojua watatujuzaWafanyakazi wa kiwanja cha chato bado wapo pale au kulikuwa hakuna wafanyakazi pale?
Kile cha mpanda tangu zamani tuu kimekuwa palio la mbuzi na kondoo ila kuna baadhi ya ndege hutua na kuondoka hawa ni mbayuwayu na kongoni
Binafsi naulizia, ile hotel ya Wizara ya Maliasili, imeishaisha?? Watalii tukatizame twiga huko Burigi.Hivi wadau wa huko Chato ile VETA bado inaendea kujengwa?
Yaan na ww unajiona umeandika Uzi.Lowasa alisema elimu!Elimu!!Yaani unapoandika uzi ,utafikiri Chato sio sehemu ya Tanzania. Yaan kujengwa uwanja hapo ilikosewa sana.Kumbe ww ni mjinga ambaye wajinga wote wanakanyanga wanaenda kwa wajinga wengine.Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege
Kikwete kiwanja alichopewa kajenga?Ukiachana na hilo,naomba kujuzwa fursa za kiuchumi zilizoko hapo Chato.Hivi karibuni nitahamishiwa huko kikazi.
Huku niliko nilikuwa najishughulisha sana na kilimo cha karanga,mahindi na ufuta. Sasa huko Chato mmetaja panalimwa mahindi,mpunga na mihogo kwa wingi.Je,ni kata zipi zinafanya vyema kwenye kilimo cha mazao hayo? Na je,ardhi inaweza kuniruhusu kuendeleza kilimo cha karanga na ufuta huko?
HahahahahaGo ahead. Serikali tumesikia.
Nimecheka kila mtu ananishangaa dahHata mkitaka kujamiiana usiku ni RUKSA.
Je kabla ya uwanja kujengwa hawakuwa na mahali pa kuanika mazao mpaka waende uwanja wa ndege?
Jamani huu uzi naonekana kama chizi ujue🤣🤣🤣Genious, na ndege ziwe zinajibanabana zisikanyage mazao ya wanyonge kama yafanyavyo magari kutokanyanga mabeseni yaliyopangwa na machinga.
Mpunga...lolMpala leo hii kwa wakazi wa kuanzia nzega mpaka tinde nao hufanya hivyo hivyo 😀
Kwani baba yako hana sehemu ya kuanikia huo mpunga,acheni madharau siku hizi mnabweka hovyoSasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege