Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Rukhsa anikeni tu!
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaota nyasi na wataishi nyoka, nnge na kengeSasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi,mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba serikali ituruhusu kutumia uwanja was ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo,inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
😅😅Vipi zile traffic lights bado zinaongoza punda? Na punda si wamepata machinjio pale Shinyanga? Wakiisha itakuwaje?
Hahahahaaaa, hivi gari litoke huko lichomoke tyre lihame barabara linakutana na mtu anaanika mazao Mungu wangu!!!!Mpala leo hii kwa wakazi wa kuanzia nzega mpaka tinde nao hufanya hivyo hivyo 😀
oya usiturushe handasi, sisi tunasherekeaJe kabla ya uwanja kujengwa hawakuwa na mahali pa kuanika mazao mpaka waende uwanja wa ndege?
Itakuwa mtafutano. Ndugai ataufyata ghafla maana sa hv anademka tuMara Paap Jiwe anafufuka
Avatar ya mtu inaakisi mawazo na roho ya binadamu huyo alivyo.Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi,mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba serikali ituruhusu kutumia uwanja was ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo,inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
Sisi kama serikali tumeridhia omni hili..Naunga hoja mkono
Nilijua hili litatokea ila sikujua kama ni haraka hivii Mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani 🙏Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi,mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba serikali ituruhusu kutumia uwanja was ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo,inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
Na kwa Chato itakuwa tairi la ndege!Hahahahaaaa, hivi gari litoke huko lichomoke tyre lihame barabara linakutana na mtu anaanika mazao Mungu wangu!!!!
Mi nipo GEITA hakuna hizo huduma.za ndege pande hizi...nafikiri ungetumika kuanikia mazao ya shambani na ziwani...badala ya kuharibika
Acha uongo, hujafika Chato.Mi nipo GEITA hakuna hizo huduma.za ndege pande hizi...nafikiri ungetumika kuanikia mazao ya shambani na ziwani...badala ya kuharibika kabisa
Sio kweli, uwanja unatumika, achana na hizo propagandaNilijua hili litatokea ila sikujua kama ni haraka hivii Mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani 🙏
Mkuu kwanini usiwe uwanja wa mpira?Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Kidumu CCM
#matege
KUNAKUTUMIA FURSAJe kabla ya uwanja kujengwa hawakuwa na mahali pa kuanika mazao mpaka waende uwanja wa ndege?
Ile asphalt kwenye runway ni ya kiwango cha SGR na hakuna vumbi pale...that's why! 🙂Je kabla ya uwanja kujengwa hawakuwa na mahali pa kuanika mazao mpaka waende uwanja wa ndege?
Ruksa. Wewe anika mpunga, mahinadi au udaga. Hakuna atakayekuuliza!Si amesema maeneo mengine yapo, lakini pale uwanjani watapata mazao bora yasiyo na mchanga