Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

🤣 acheni matusi basi! Mwendazake atafufuka mkiendelea kumnanga
Gwajima ndo tatizo akiwa Bungeni walimuomba amfufue huyu mpendwa wetu, yeye Gwajima pamoja na mbwembwe zake huko nyuma za kufufua wasio kufa , akiwa Bungeni kuhusu swala la kumfufua mpendwa wetu umeuchuna tu.
 
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.

Kidumu CCM
#matege
Pia tunaomba meneja wa Uwanja abadilishiwe majukumu awe msimamizi wa Uanikaji mazao na kuhakikisha watu wanaanika kwa zamu
 
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.

Kidumu CCM
#matege
Ruksa
 
Screenshot_20210526-112217.png
 
Ukitaka kujua kama una laana ya asili au hauna, angalia kile ambacho huwa unawaza kichwani kwako, yaani kile ambacho kimeujaza moyo wako. Tiba ya laana ya asili huwa inapatikana kwenye nyumba za Ibada tu basi, hakuna sehemu nyingine inapopatikana
 
Alijikweza Sana ufalme! airstrip ingetosha. Ziada angewekeza viwanda kilimo na mifugo leo wanaChato na Watanzania tungehamia huko fursa.
 
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.

View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato​

Kidumu CCM
#matege
Kwa sasa tunatumia kwa matambiko, wakaanikie kwenye mawe yamejaa huko Bwanga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah ingekuwa kipindi like ungesakwa na lile Nissan jeupe usiku na mchana hadi upatikane wakupeleke Mikocheni ukaimbe nyimbo zote
Hiki ndicho watu wa huyu mtu wanataka waone hata mama akifanya.
Kitu ambacho hawaelewi ni kuwa mama akiamua kufanya hivyo hata wao ni victim.
 
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.

View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato​

Kidumu CCM
#matege
Halafu ankuja kama Plo Lumumba anatetemesha sauti eti anaunga mkono mambo kama haya. Mimi nilidhani anajiheshimu.
Lumumba ajitafakari ikiwa kweli yeye ni mtu material kama ambavyo yeye mwenyewe anavyojidhania.
Kama anaweza kumshabikia fisadi na mwovu hadharani ajue kuwa yeye pia anaingia kwenye kundi la watu hao. Kule kutetemesha sauti ni mimtetemo ya uovu uliomjaaa moyoni mwake.
Lumumba anatakiwa kutubu"
 
Naona historia inajirudia! Huenda wewe mleta mada ni kijana uliyezaliwa awamu ya Mkapa! Kama umekula chumvi kidogo, utajua kwamba historia hujirudia, ulipojengwa KIA (Kilimanjaro International Airport) ulipomalizika, ulikosa ndege maana EMBAKASI ya Nairobi ndiyo ilikuwa inajulikana/inavuma. Lawama nyingi sana na kashfa kemkem /kejeri zilitolewa kwamba serikali imekurupuka kujenga KIA! Enzi hizo watalii wa mbuga na vivutio vyetu walikuwa wanatua Nairobi/EMBAKASI! Safari zinapangwa kuanzia huko, Hata mlima Kilimanjaro ilikuwa unapandiwa upande wa Kenya!
To cut a long story short, sasa hivi KIA Inafanya vizuri Sana.
Kwa hiyo subiri kidogo Chato itatoboa,usikejeri
Mfano hauendani.
 
Iv unalinganisha kitu gani mtoa mada?unajua kia inafeed mikoa mingapi na kwa nini?Kilimanjaro mlima mrefu ,na Arusha mbuga nyingi za wanyama,huku chato kuna nini zaid ya mbuga ya kuamishwa kama banda la vifaranga?think big
 
Nasimama na wewe mtoa mada.

Huu ndio uzalendo wa kweli, kukausha mazao ni njia bora kabisa ya utunzaji mazao.
Na ni muungwana pia. Licha ya kufafanua vizuri faida za kutumia uwanja huo kuanikia mazao, amekumbuka pia kumalizia kwa salamu ya "kidumu chama cha Mapinduzi". Huyu ni Muungwana

Kwa mambo hayo wala hawahitaji kuomba ruhusa. Wanaomba ruhusa kwa yale ya mchana kweupe, siyo usiku
Wafanyakazi wa kiwanja cha chato bado wapo pale au kulikuwa hakuna wafanyakazi pale?
 
Back
Top Bottom