Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok...umemaanisha isjie kutokea kama ambavyo Mh. J. Kikwete alivyotoa Studio kwa wasanii halafu Ruge akaitafisha na kuifanya ya THT!!Naunga mkono hoja, umetazama mbali sana
Je unaweza pia kutoa pendekezo juu ya mwendelezo wa maabara hiyo, wazo laweza tekelezeka vema lakini likakosa sustainability pale uongozi unapobadilika mbele ya safari
Ok I get you. Now back to the main TOPIC. SirMaxmalipo used government help to do business streamrolling their competitors..The same government came and ruin them...They deserve what happened to them!
Never trust government on anything!
Dont do business by help of anyone,use your own brain!
Now the same government buried them!
It is only fair for what I see!
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI:
Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo:
Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku code, ku program, kutengeneza Apps za viwango vinavyoruhusiwa na Play Store n.k. wafungiwe humo kwa makubaliano yafuatayo:
1. Utajiandikisha kwamba wewe ni IT guy (kama RC Makonda alivyofanya wakati anataka kutengeneza ule Mfumo wake, akawaita wote waliopo Dar)
2. Utahakikiwa, hata kama huna Vyeti, utapewa nafasi, ila lazima Timu ya kuhakiki ijiridhishe
3. Utapewa 2 Days trial utoe Demo, yaani kama ni App au System, watu waone, then utapewa muda kama wiki 2 ukamilishe
HAWA WATU WATAFUNGIWA HUMO, KULA, KULALA, ETC...AS IF UKO JELA🙂
Lengo:
Serikali iwe na Wataalamu wa kuaminiwa, wazalishaji wa Products za Software kwa matumizi mbalimbali, kitaifa na kimataifa.
Hamna kutengeneza Apps za kijamii k.v. za habari, etc...ni iwe System kwelikweli, ambayo hata Jeshi linaweza kuifanyia majaribio, na Idara mbalimbali za Serikali.
NI WAZO. OVA
Bonge moja la wazo! Ila hiyo ya kufungiwa ndani kama jela achana nalo! Yaani nimewaza kama ningekuwa na uwezo kifedha ninge finance project kama hiyo kwa kuwapa ruzuku kiasi flani waonyeshe mautundu yao ambayo baadaye yanaweza yakazaa matunda! Big up mtoa hoja!
Una wazo zuri lakini swali ni je Serikali sikivu itakuelewa?
KUWEZESHWA NI LAZIMA...sikumaanisha watu hao hawapo. lakini lazima wawezeshe hivyo..China, Russia, US, Chille wnaafanya hivyo...Wazo zuri but kizuri huwa hakijifichi if you have an ability as programmer or as a developer then do something batter and unique na utaonekana tuu without waiting for the implementation ya wazo lako
Kabisa mkuu.Hapa tutafute namna ya kumtumbukiza Dr. Regnald Mengi, ni mwepesi kuelewa na kuchukua hatua
Ok...umemaanisha isjie kutokea kama ambavyo Mh. J. Kikwete alivyotoa Studio kwa wasanii halafu Ruge akaitafisha na kuifanya ya THT!!
Hilo kosa halitojirudia. Lab hiyo itakuwa under full governance.
NI JUKUMU LA SERIKALI KUUNDA MFUMO Rasmi.Mkuu kuna Costech tatizo sio mawazo tatizo ni urasimu vijana pale wanamawazo sana na wanareal projects but hawaaminiki kwa sponsor maana hakuna njia rasmi
Mkuu kuna Costech tatizo sio mawazo tatizo ni urasimu vijana pale wanamawazo sana na wanareal projects but hawaaminiki kwa sponsor maana hakuna njia rasmi
Asante kaka.Wazo zuri.
Nimelichukua kwa ajili ya kuliboresha kwanza kwa kujumuisha haya maeneo kabla ya ili iwe sustainable na achievable
1. Kuwe na Project Management including Project Proposal
2. Kuwe na Business Plan
3. Kuwe na Implementation/Action Plan na namna ya kuwapata hao Wataalam
4. Kuwe na Mfumo RASMI wa hivyo lab (Financing Plan)
5. Kuwe na Impact Plan (matokeo yake yatakuwaje na wataalam/Nchi itanufaikaje
Bill gates,Paul Allen, Zuckerberg na wengineo walifungiwa na serikali ipi ili kubuni microsofoft, fb nk???Kisaikolojia, watalaamu wa IT na wahitimu wa Computer Science huwa hawawezi kujiongoza, lazima wawe na Bosi nyuma, yaani lazima afungiwe ndani...so sio Jela lwa mantiki ya Jela,....coz anaweza kudesign kitu kikubwa...baada ya nusu saa akawaza akaona si chochote..akafuta akaanza upya!!!
KUWEZESHWA NI LAZIMA...sikumaanisha watu hao hawapo. lakini lazima wawezeshe hivyo..China, Russia, US, Chille wnaafanya hivyo...