OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

Hakuna kampuni za IT Tz za Ku search new talent?
Hatuna venture capitalists firms?
Au fund za ku.invest Kwa start ups??
Bongo search wana search wana muziki hiyo wizara mpya ianze ku search IT gurus

Tanzania venture capitalists wanunua business ideas hawapo

Marekani na ulaya wapo if you have for example a one million dollar business Idea waweza inunua au wakakupa share ikiwa viable
 
Mada serious kama hiyo Haina wachangiaji na viewers wengi Watanzania tuna shida
Kichwa cha mada kingesema Lisu ajikwaa kidole ubelgiji ungeona jinsi Chadema ambavyo wangefurika humu ku view na ku comment
 
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI:

Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo:

Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku code, ku program, kutengeneza Apps za viwango vinavyoruhusiwa na Play Store n.k. wafungiwe humo kwa makubaliano yafuatayo:

1. Utajiandikisha kwamba wewe ni IT guy (kama RC Makonda alivyofanya wakati anataka kutengeneza ule Mfumo wake, akawaita wote waliopo Dar)

2. Utahakikiwa, hata kama huna Vyeti, utapewa nafasi, ila lazima Timu ya kuhakiki ijiridhishe

3. Utapewa 2 Days trial utoe Demo, yaani kama ni App au System, watu waone, then utapewa muda kama wiki 2 ukamilishe

HAWA WATU WATAFUNGIWA HUMO, KULA, KULALA, ETC...AS IF UKO JELA🙂

Lengo:

Serikali iwe na Wataalamu wa kuaminiwa, wazalishaji wa Products za Software kwa matumizi mbalimbali, kitaifa na kimataifa.

Hamna kutengeneza Apps za kijamii k.v. za habari, etc...ni iwe System kwelikweli, ambayo hata Jeshi linaweza kuifanyia majaribio, na Idara mbalimbali za Serikali.

NI WAZO. OVA
Nzuri lakini usilimit, hakuna kutengeneza app za jamii ni unnecessary limitation
 
Back
Top Bottom