OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

Very good idea bro...Wanapitapita humu,watalibeba wazo lako, you take my words.
 
Naunga mkono hoja, umetazama mbali sana
Je unaweza pia kutoa pendekezo juu ya mwendelezo wa maabara hiyo, wazo laweza tekelezeka vema lakini likakosa sustainability pale uongozi unapobadilika mbele ya safari
Ok...umemaanisha isjie kutokea kama ambavyo Mh. J. Kikwete alivyotoa Studio kwa wasanii halafu Ruge akaitafisha na kuifanya ya THT!!

Hilo kosa halitojirudia. Lab hiyo itakuwa under full governance.
 
Ok I get you. Now back to the main TOPIC. Sir
 
Wazo zuri but kizuri huwa hakijifichi if you have an ability as programmer or as a developer then do something batter and unique na utaonekana tuu without waiting for the implementation ya wazo lako
 
Hapa tutafute namna ya kumtumbukiza Dr. Regnald Mengi, ni mwepesi kuelewa na kuchukua hatua
 
Huu ni Ukweli mtupu, mawazo mazuri Haya hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kuwa wategemezi kwa kila kitu kutoka nje hata kwenye vitu vidogo vidogo kama hivi vya ugunduzi ambao unawezekana kufanywa na vijana wetu humu humu ndani, kuna kipindi nasikia Jiwe alitaka kutoa wataalam Rwanda kuja kuinstall system yetu ya Mapato kupitia nikajiuliza hivi jambo Dogo tu Kama hili waTanzania tumeshindwa hadi tupate msaada kutoka nje?
 
Wazo zuri but kizuri huwa hakijifichi if you have an ability as programmer or as a developer then do something batter and unique na utaonekana tuu without waiting for the implementation ya wazo lako
KUWEZESHWA NI LAZIMA...sikumaanisha watu hao hawapo. lakini lazima wawezeshe hivyo..China, Russia, US, Chille wnaafanya hivyo...
 
Ok...umemaanisha isjie kutokea kama ambavyo Mh. J. Kikwete alivyotoa Studio kwa wasanii halafu Ruge akaitafisha na kuifanya ya THT!!

Hilo kosa halitojirudia. Lab hiyo itakuwa under full governance.

Mentality ya kisiasa ndiyo chanzo cha vifo vya ubunifu

Je kabla ya kuanza utekelezaji kunakuwepo andiko gani la kuilinda lab isihujumiwe na yeyote ajaye sasa na baadaye?
 
Mkuu kuna Costech tatizo sio mawazo tatizo ni urasimu vijana pale wanamawazo sana na wanareal projects but hawaaminiki kwa sponsor maana hakuna njia rasmi
 
Mkuu kuna Costech tatizo sio mawazo tatizo ni urasimu vijana pale wanamawazo sana na wanareal projects but hawaaminiki kwa sponsor maana hakuna njia rasmi
NI JUKUMU LA SERIKALI KUUNDA MFUMO Rasmi.
 
Mkuu kuna Costech tatizo sio mawazo tatizo ni urasimu vijana pale wanamawazo sana na wanareal projects but hawaaminiki kwa sponsor maana hakuna njia rasmi

Kinachowafanya wasiwaamini ni hao wa kuwaamini kutojua kinachotengenezwa, wanakuwa na hofu kwamba kinaweza kuwatafuna baadaye
 
Wazo zuri.
Nimelichukua kwa ajili ya kuliboresha kwanza kwa kujumuisha haya maeneo kabla ya ili iwe sustainable na achievable

1. Kuwe na Project Management including Project Proposal

2. Kuwe na Business Plan

3. Kuwe na Implementation/Action Plan na namna ya kuwapata hao Wataalam

4. Kuwe na Mfumo RASMI wa hivyo lab (Financing Plan)

5. Kuwe na Impact Plan (matokeo yake yatakuwaje na wataalam/Nchi itanufaikaje
 
Asante kaka.
 
Bill gates,Paul Allen, Zuckerberg na wengineo walifungiwa na serikali ipi ili kubuni microsofoft, fb nk???
 
KUWEZESHWA NI LAZIMA...sikumaanisha watu hao hawapo. lakini lazima wawezeshe hivyo..China, Russia, US, Chille wnaafanya hivyo...

Ukisubiri kuwezeshwa utachelewa sana au utaupoteza kabisa just do your best kwa knowledge uliyo nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…